• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, October 29, 2012

KUISIKILIZA / KUI-PAKUA : Bonyeza Hapo Chini!!!
HII NDIO CREW NZIMA YA MAPACHA WATATU
KUTOKA KUSHOTO....JANUARY,KHALID CHOKORAA NA JOSE MARA
MA-DANCERS WA UKWELI


ITS ALL ABOUT UJIO MPYA!!!

Ni Band iliyoanzishwa mwaka 2009 lakini inamafanikio ya kutosha utadhani ni ya miaka miiingi iliyopita,Chini ya kiongozi wao Manager Khamis Dakota "Manager Mwenye Mvuto" Kama Vijana Wake Wanavyosema.

Ninapozungumzia ujio Mpya ni ujio kama huu ambao vijana wameamua kufanya kazi na wasanii tofauti ili kuleta ladha tofauti katika muziki wetu wa Dance,Walianza na MZEE YUSSUF,kisha ALIKIBA sasa Wamekuja na Mkongwe katika Tasnia ya Taarab KHADIJA KOPA.

KUISIKILIZA /  KUI-PAKUA : Bofya hapo chini!!!!

Sunday, October 28, 2012

ARTIST  /  TOBI GWAY
SINGLE  /  MARIA
STUDIO  /  PAMOJA RECORDS
PRODUCER  /   NAS B 

Saturday, October 27, 2012

Taylor Swift, who has performed multiple times in New York this week, will take her act national in a few months.
The superstar has announced a 2013 tour through North Americain promotion of her album "Red."
Taylor Swift Concert Photograph "I didn't think I could be any more excited about my Red album, but then I start thinking about how I'm going to put the new show together for The Red Tour," Swift said in a statement. "I have so many ideas about how to really bring this music to life, and I can't wait to share the new show with all my fans!"
Last year, the artist's Speak Now Tour garnered $97.7 million last year, making it the second highest-grossing tour of 2011 behind U2.
This time, with Ed Sheeran opening, she will kick off a six-month trek through the U.S. and Canada in Omaha, Nebraska on March 13.
Following 45 total cities, 29 states and three provinces, Swift will then wrap it all up with a three-night event in her adopted hometown of Nashville. Those tour dates will be September 19, 20 and 21.
Bondia Rashid Matumla na Patrik Amot wa Kenya wanatarajiwa  kupanda ulingoni kesho katika ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara. Mabondia wote wamepima na kuwa na afya njema na wote kuwa katika uzani sawa wa kilo 73 kila mmoja.

Zoezi zima la upimaji lililoendeshwa na katibu mkuu wa TPBO Ibrahim Kamwe na Dkt.  Madono lilienda vema. Pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi kati ya Bakari Mohamed wa mtwara na Abdala Mohamed wa Dar es salaam katika pambano la ubingwa kg57.

Pia kutakuwa na mapambano mengine mengi ya utangulizi kati ya mabondia toka Black Mamba Club ya Mtwara na mabondia toka Dar es salaam.kama Haruna Mnyalukolo atacheza na Ashraf Abdala, Issa Matumla (mtoto wa Rashid Matumla) atacheza na Mamis Mtupeni, wakati Hamis Ali Mkupa wa Mtwara atacheza na Ide Mnali katika mapambano la raundi nane nane.
Rashid Matumla akipima uzito tayari kumkabili Mkenya  huko Mtwara
Patrik Amot wa Kenya akipima uzito leo
Maofisa wa TPBO wakitafakari kitu baada ya upimaji wa mabondia Mtwara leo

Gari la kusambaza magazeti ya kampuni ya Mwananchi lapata ajali, watu 3 wapoteza maisha, 5

Gari linalosambaza magazeti ya kampuni ya Mwananchi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,limepata ajali wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine watano kujeruhiwa.


 Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro Afande Robert Boaz, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo Oktoba 26 majira ya saa 11 alfajiri katika eneo la Kirinjiko, wilayani Same, barabara kuu ya Tanga-Moshi.


 Kamanda alisema Gari hilo lenye namba za usajili T336 BFU Isuzu Pick-up linalosafirisha magazeti ya kampuni ya Mwananchi Communication (MCL)  ililigonga gari lenye namba za usajili T 415 AAM/ T 411AAM Scania na  kusababisha vifo vya watu watatu papohapo.


 Kamanda Boaz amewataja waliofariki kuwa ni Ibrahim Mrutu (65)  mkazi wa wilayani Same, Abdalla Rajabu(49) mkazi wa Majengo Mkoani Arusha ambapo wote ni madereva wa Simba Truck pamoja na Robert Mnyeki (39).


 Aliwataja waliojeruhiwa kuwa ni Rahim Bakari (28)mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam mfanyakazi wa kampuni ya Mwananchi,Juma Said (37)Dereva wa Simba Truck mkazi wa Arusha kwa Mrombo,Gasino Nguma(40) mwalimu mkazi wa Mlandizi jijini Dar es salaam, Hamza Omary (31) mfanyabiashara mkazi wa Buguruni jijini  Dar es salaam pamoja na Sekero Musa (30) ambaye hali yake inaelezewa kuwa mbaya.


 Watu hao walikuwa ni abiria katika gari lililokuwa likisafirisha magazeti ambapo Majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya wilaya ya  Same na KCMC kwa ajili ya matibabu.


 Chanzo cha ajali hiyo kamanda alisema ni mwendo kasi wa gari dogo na kwamba dereva wa gari hilo Wambura Ramadhani anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano na uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo bado unaendelea.

Lil Wayne has been hospitalised after falling ill on a flight.
He was reported to have suffered 'seizure-like symptoms' on Thursday.
The rapper’s private jet had to make an emergency landing in Texas when he suffered the health scare and he was quickly brought to a local hospital, according to TMZ.
Fallen ill: Lil Wayne has been hospitalised after he suffered 'seizure-like symptoms' on a flight
Fallen ill: Lil Wayne has been hospitalised after he suffered 'seizure-like symptoms' on a flight
While the exact problem is unknown, he is reported to be 'doing better'.
This is the latest trouble for the star - real name Dwayne Michael Carter, Jr. – after he recently filed a lawsuit against Quincy Jones III for using his music in a documentary film.
In the court documents he claimed he never gave permission to use his music in The Carter, a motion picture about him.
Acting fast: As soon as the rapper landed he was rushed to receive medical treatment
Acting fast: As soon as the rapper landed he was rushed to receive medical treatment
Songs used in the movie include hits such as Lollipop, Stuntin' Like My Daddy, Let the Beat Build, and Dontgetit from his multi-platinum selling album, Tha Carter III.
Lil Wayne claims music producer Quincy Jones' son and the other producers never asked if they could use his tunes in their project.
Road to recovery: Lil Wayne is reportedly 'doing well'
Road to recovery: Lil Wayne is reportedly 'doing well'
However, it seems he cooperated with the filming of the documentary, because he allowed cameras to follow him around.
Lil Wayne didn't like the outcome of the movie and sued over it, claiming it was a 'scandalous portrayal' of him.
In the music lawsuit, filed by the firm of Lavely & Singer on behalf of the star, Lil Wayne asks for unspecified damages and an order prohibiting the producers from using his music.


American rapper Akon jetted into Nairobi's JKIA at 7:05pm ahead of his two shows this weekend.
During a Skype interview with members of the fourth estate days before his arrival he revealed that Kenyans should be “ready for a surprise”.
Akon will be performing on October 27 and 28 at the Carnivore. Entrance fee is Sh2500 for arena tickets and Sh5,000 for VIP.
Najua twamfahamu vema H baba  jinsi anavyoondoka na style za Dance katika muziki wa hapa Bongo Land mpaka kupelekea mashabiki wengi kumkubali,siku za hivi karibuni msanii huyu aliamua kufunguka na kusema kwamba sasa hivi ana michakato ya kumalizia mipango yake ya ndoa baada ya hapo ndipo ataanza rasmi kuongea na Fally Ipupa ili wafanye collabo kwa pamoja katika ngoma mpya.Lakini H baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.Tunamtakia All the best.

source   /      fetty


Pan African designer, Mustafa Hassanali yesterday launched his latest collection named Afrilaal at MERCEDES BENZ FASHION WEEK – AFRICA in Johannesburg, South Africa.
Among the models who ripped the run way, were New York based Tanzanian Model Flaviana Matata, MNET face of Africa 2008 winner Kate Mensah from Ghana and Sweden based Tanzanian model Michelle Jeng.
Afrilaal collection will be used to advocate awareness of the reality of HIV/AIDS.
It is Mustafa Hassanali’s FIFTH collection in year 2012, and his NINTH show in SOUTH AFRICA.
Mustafa Hassanali has launched Afrikalos collection in Lagos Nigeria, Wedding collection in Dar es Salaam, Ramadhan Collection in Dakar, Senegal and Pink Desert Collection in Gaborone, Botswana. And has shown at Fashion extravaganza in Kampala, Uganda and Bangalore fashion week in India in the year 2012.
59863_10151289424906718_564333664_n 14390_10151289424236718_2071115189_n 21609_10151289423391718_109662407_n 28755_10151289424126718_926463475_n 36322_10151289423981718_866261871_n 47380_10151289426536718_1850416847_n 69381_10151289423796718_1395825908_n 182513_10151289424381718_482666615_n 269808_10151289425431718_652001991_n 270412_10151289423966718_642200509_n 293819_10151289425541718_191243332_n 306515_10151289423871718_1793278919_n 306622_10151289425236718_1235386042_n 317222_10151289425301718_44638279_n 379047_10151289424441718_182894149_n 431577_10151289423536718_939286247_n 541239_10151289424211718_1368654087_n 546816_10151289426621718_432280410_n 578433_10151289424331718_1083987183_n 579343_10151289424696718_1751686498_n
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akiwa na Mhe. Gunilla Carlson Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Sweden ofisini kwake jijini Stockholm. Waheshimiwa Mawaziri hao walizungumzia kumarisha uhusiano katika sekta ya ardhi. Profesa Tibaijuka yuko katika ziara ya kikazi nchini Sweden.

Friday, October 26, 2012


WAREMBO 30 wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 usiku wa leo katika Hotel ya Girraffe Ocean View watachuana vikali kuwania taji la Miss Talent 2012 ambapo mshindi pia atapata tiketi ya kuingia moja kwa moja katika nusu fainali ya shindano la Miss Tanzania 2012.

Akizungumzia maandalizi ya shindano hilo la tatu kufanyika ndani ya Miss Tanzania 2012, Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye amesema wanataraji mchuano mkali hasa kutokjana na warembo wengi kuwa na vipaji.

“Maandalizi yote yamekamilika na tunawakaribisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuja kushuhudia vipaji vya warembo mwaka huu na maandalizi yamekamilika,” alisema Makoye.
 
Ushindani mkali unataraji kuwepo kwa baadhi ya warembo ambao tayari wamekuwa wakionesha vipaji vyao mara kwa mara jambo ambalo linaleta changamoto kubwa kwa majaji wataakao ongoza shindano hilo.

Baadhi ya warembo ambao leo hii wanataraji kushindana vikali kuwania taji hilo ni Mrembo kutoka Kanda ya Ziwa, Babylove Kalala ambaye anautaalam wa hali ya juu ya kucheza ngoma za asili sambamba na kutumia nyoka katika uchezaji huo wa Ngoma.

Irine Veda kutoka Kanda ya Mashariki tangu mashindano ya Kanda amekuwa mataalam na mwenye kipaji kikubwa cha kupuliza Saxophone “Mdomo wa Bata” huku mrembo kutoka Kanda ya Ilala, Noela Michael na Zuwena Nasib kutoka Chuokuu Huria  wakiwa na kipaji cha uimbaji wa hali ya juu pamoja na  warembo mbalimbali ambao pia watashiriki shindano hilo kwa kucheza mziki na kuimba.

Taji la Miss Talent 2011 linashikiliwa na Mrembo Rose Albert kutoka Kanda ya Kaskazini.
 
Mshindi wa Shindano la Talent ataungana na warembo wengine watatu ambao tayari wameshapata tiketi ya kuingia Nusu Fainali ya Redds Miss Tanzania 2012, ambao ni Lucy Stephan (Redd's Miss Photogenic),Mary Chizi (Redd's Miss Tanzania Sports Lady) pamoja na Magdalena Roy (Redd's Miss Tanzania Top Model).

Fainali za Redds Miss Tanazania 2012 zitafanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Novemba 3 mwaka huu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ