• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Wednesday, June 26, 2013





Tuesday, June 25, 2013


SIKILIZA ALICHOKISEMA.....

Monday, June 24, 2013

Sunday, June 16, 2013


Saturday, June 15, 2013

Kwa mara ya kwanza unaweza kumuona Aunt Ezekiel akijiachia na kuimba ipasavyo katika wimbo alioshirikishwa na January Eleven,wimbo huo unakwenda kwa jina la MOVIE STAR,.....Enjoy.....

Saturday, June 8, 2013



Friday, June 7, 2013


 Haya ni Majanga!!
 Kwa moto huu hata Fire wangekuja wangechemsha!!!!...Walikuja baada ya Jengo zima kuteketea...
 Hii ni barabara ya Hananasifu ukiwa unatokea Studio unaelekea Club E.M Stereo....

Nilisimama maeneo ya Ofisini kwangu nikichukua picha hizi....Angalia jinsi kibanda cha pembeni kinavyoteketea..... 

HIKI NI KIPANDE CHA VIDEO YA TUKIO HILI

Tuesday, June 4, 2013



Msanii Mchizi Mox akiwa mbele kabisa wakati
mwili umewasili uwanja wa ndege wa J.K NYERERE
AIRPORT....
Baadhi ya wasanii na waandishi wa habari wakiteta
 jambo wakati wakisubiri mwili....

Msanii Madee toka Tip Top Connection akihojiwa na
kituo kimoja cha Television uwanjani hapo...
Lamar Niekamp Producer wa Fishcrab kushoto na Proffesor J
walikuwepo kuupokea mwili wa
Ndugu yetu Albert Mangweha.....!!

Hapa Mwili ndio ulikuwa unatoka ndani ya uwanja wa ndege.....
Mwili ukiwa umekabidhiwa kwa wahusika tayari
kwa kuelekea Hospitali ya Taifa
Muhimbili....
Umati wa watu ulivyofurika kupokea mwili wa
ndugu yetu Albert Mangweha....
Mashabiki wa Albert Mangweha waliojitokeza Airport
wakilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza
lenye mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha ulipopokkelewa....
Maelfu ya watanzania wakiongoza msafara kwa mguu
kusindikiza mwili wa Marehemu Albert Mangweha
Hospitsli ya Taifa Muhimbili...!!
clip_image001
Watafiti ( University of Colorado Boulder) wanasema asilimia kubwa ya migongano na mifarakano inasababishwa na kutokuwasiliana kwa ufasaha kwa wahusika waliopo katika mifarakano au migongano husika. Na inasemwa pia (Examiner.com) kuwa dawa namba moja ya kuzuia na kusuluhisha migongano ni kuboresha mifumo ya mawasiliano na kuhakikisha wahusika wanakuwa na mawasiliano fasaha. Ukiachilia na ukweli huu wa kitafiti, wengi wetu tumejikuta hatutoi kipaumbele katika kujifunza na kuboresha uwezo wetu wa kuwasiliana kwa ufasaha. Ikumbukwe kuwa, kumudu kuwasiliana kwa ufasaha, ni zaidi ya kuweza kusoma na kuandika. Ni zaidi ya kujua misamiati mbalimbali ya darasani ihusuyo mawasiliano kama vile (receiver, sender, barriers to communication n.k.). Katika makala hii tutaangalia mambo ya msingi tunayoweza kuyaboresha katika mawasiliano ili kuboresha mahusiano yetu, yawe ya kimapenzi, kibiashara au kiofisi.
Ni muhimu kujua maana pana ya Mawasiliano Fasaha
Maana pana ya mawasiliano fasaha inatutaka tuchukulia swala la mawasiliano kuwa ni jambo la kila siku, jambo la kila wakati, hivyo ni swala endelevu ambapo kulimudu vema, linahitaji maamuzi thabiti ya mtu binafsi kuwa ataishi kwa kufuata kanuni husika. Ingawa kanuni za mawasiliano fasaha zaweza kuonekana kama vile ni nadharia, umaana wa mawasiliano sahihi upo katika kufanya kwa matendo yanayotakiwa kukamilisha mawasiliano fasaha.
Acha basi, tuangalie maana pana ya mawasiliano fasaha (kwa kiingereza effective communication):
Mawasiliano fasaha ni yale mawasiliano ambayo yanatimiza vigezo vyote vifuatavyo:
  • Kigezo namba 1: Mawasiliano ambayo mtoaji ujumbe anaeleweka kama alivyokusudia, na pia mpokeaji ujumbe (receiver) anapokea ujumbe na kuulewa kama ilivyokusudiwa. Ndio maana basi kuna haja ya kujifunza namna bora ya kutoa ujumbe, na namna bora ya kupokea ujumbe.
  • Kigezo namba 2: Mawasiliano fasaha yanawezesha lengo kuu la mawasiliano kufikiwa. Mfano kama lengo ni kuomba ruhusa, basi ruhusa inapatikana, isipokuwa pale tuu mazingira mengine nje ya mawasiliano yanalazimisha ruhusa kutokutolewa. Hapa ina maana kuwa sababu kuu ya kutopata ruhusa sio kwakuwa mhusika hakueleweka vema au hakufanya mawasiliano kiufasaha, bali kuna mambo mengine nje ya mawasiliano yanafanya upatikanaji wa ruhusa kusiwe jambo fasaha. Mfano, kuna hali ya hatari kutokana na vurugu.
  • Kigezo namba 3: Mawasiliano fasaha yanawezesha hali ya kuelewana hata baada ya mawasiliano kukamilika. Kigezo hiki kinamaanisha kuwa lengo sio tuu kufanikiwa kupata unachohitaji lakini pia uchukulie maanani jinsi unayosema au kuandika yanavyoweza kuathiri uhusiano wako wa sasa au wa baadae na huyo unayewasiliana naye.
Jinsi ya kufanya mawasiliano fasaha
Ili kufanya mawasiliano fasaha kuna mambo tofauti ya kuzingatia. Mambo haya yanaelezwa hapa:
  1. 1.Tambua uhusiano wako na mpokeaji wa ujumbe: Hii inamaanisha kuwa tambua unawasiliana na nani , na kwamba wewe ni nani kwa huyo mhusika, na huyo mhusika ni nani kwako. Mfano, utasikia wapenzi wengi wamejikuta wapo katika mzozo kwakuwa tuu mmoja amehisi kudharauliwa kwa vile mwenza wake alivyomjibu, au alivyomueleza jambo fulani. Utasikia “ kwanini uzungumze hivyo kama vile mie sio mkeo?” au “ Kwanini uzungumze hivyo kama vile hujui unazungumza na mumeo?”
  2. Tambua hali ya kiakili aliyonayo mpokeaji wa ujumbe: Hii inamaanisha kuwa kabla ya kuwasiliana na mhusika fulani fanya kautafiti walau kadogo kujua kwa kiasi gani mhusika yupo tayari kiakili kupokea kile unachotaka kuwasiliana naye. Si ajabu kukuta mwanadada analalamika kuwa mpenzi wake hakutimiza alilohitaji au hakuonyesha kujali alipokuwa anazungumza naye, wakati kiukweli mwanaume alikuwa ‘bize’ anaangalia mpira. Akili yake yote ilizama huko. Mambo yanayoweza kufanya akili isiwe tayari au isiweze kupokea mawasiliano kwa ufasaha ni kama vile mtu akiwa na hasira, mtu akiwa amechoka, mtu akiwa na mawazo, mtu akiwa na hofu, au huzuni, n.k
  3. Tambua utamaduni wako na utamaduni wa mhusika unayewasiliana naye: Hapa neno utamaduni linamaanisha namna ya kuishi ya mtu fulani, mfano vile mtu anavyoamini katika mambo fulani, vile mtu anavyopenda kuonekana mbele za watu, vile mtu anavyosalimiana na wengine n.k. Ni muhimu kutambua hivi na kujua namna ya kufanya mawasiliano kiasi kwamba utamaduni wa mtu hauathiri kuelewana kwenu, na mahusiano yenu baada ya kuwasiliana.                                       Mfano, waweza simama wakati unamsalimia mkwe, ila kwa utamaduni wa mkwe, ulitakiwa upige magoti, hivyo hata baada ya kuondoka kwako, utaacha gumzo kuwa hauna heshima. Tayari hii itapelekea kutokuelewana kati yako na upande wa ukweni. Hali kadhalika , kama unayewasiliana naye ni mteja, halafu ukafanya kinyume na matarajio yake ni kwamba utajikuta umepoteza mteja.  Zingatia mawasiliano yasiyotumia maneno: Kumbuka kwamba mbele ya watu wengine tunajikuta tunatoa ujumbe fulani kwao hata kama hatuelezi kwa maneno ujumbe husika.                                                                                                          Mambo kama vile kuguna, kurembua macho, kuangalia pembeni, kuziba masikio, n.k yote yanatoa ujumbe fulani kwa mtu mwingine. Tatizo la aina hii ya utoaji ujumbe ni kuwa , kwakuwa hakuna maneno, basi mpokeaji wa ishara husika anaweza kuwa na tafsiri tofauti na unachokusudia. Mfano, unaweza kukuta mtu analalamika “ Kwa nini unanikaripia?” wakati kiukweli haukudhamiria kumkaripia, bali jinsi ulivyokuza sauti yako, mwingine ameelewa kuwa umekasirika.  Hii pia inaweza kuchangiwa na namna unavyoonekana, pengine unazungumza huku umekunja sura.
  4. Dhibiti vizuizi vya mawasiliano (barriers to communication): Hakikisha wakati wote unapotaka kuwasiliana na mtu kuwa mtu huyo ametoa usikivu wa kutosha kwako au yupo na utayari wa kuwasiliana nawe ili kwamba unachotaka kukiwasilisha kwake kieleweke vema. Si ajabu kukuta mtu akilalamika kuwa mwenza wake hakufanya jambo fulani, eti kaonyesha dharau kwa kutokufanya hivyo, wakati ukweli ni kuwa mwenza huyo, wala hakuupata ujumbe husika. Au wakati ujumbe unamfikia hakuwa katika hali ya kumuwezesha kutilia maanani ujumbe husika. Mfano wa vizuizi vya mawasiliano ni kama vile, makele, lugha unayotumia kuwasiliana na mwenzako pengine asiielewe vema – mfano ,umetumia vifupi vya maneno mengi, au umechanganya sentensi kiasi kwamba ujumbe kamili haueleweki vema, n.k
Mambo vipi Fans!!!!,hiyo ndio ngoma yangu mpya baada ya ile ya Maumivu niliyofanya na Linex ni RnB kama kawa.


Monday, June 3, 2013


Huddah and Denzel - BIG BROTHER AFRICA
Huddah and Denzel – BIG BROTHER AFRICA
Kenya’s Huddah Munroe became the very firstDiamond housemate to be evicted from Big Brother Africa: The Chase house  in the first eviction show of the 8th season of Africa’s biggest reality TV show.
Huddah, alongside Uganda’s Denzel (not his real name; come to think of it, neither is Huddah’s) seemed shocked that they would be exiting what Huddah had earlier described as a 5-Star premises. This axing takes place barely a week after its launch, and both housemates clearly had scores to settle as they prematurely vacated the race for $300,000.
Kenya and Tanzania voted to keep Huddah in contention, as Uganda and South Africa rallied for Denzel; efforts which proved futile to their fate, as both garnered the least votes and were thus evicted.
Host IK gave the two evictees respite though, as they had an ‘arrow’ which they could throw against any housemate they had ‘unfinished business’ with. Huddah picked Namibian Dillish, whom she’s had no liking for from the onset, and handed him the arduous task of making everyone else’s bed each morning for a week: revenge at its best and a sweet exit gift for evictees.
Denzel on his part selected Tanzanian Nando, who would have to crawl on all fours whenever he exited the house, the very same way he made fun of Denzel’s height.
Uganda’s Radio and Weasal were guest performers at the first eviction party of Big Brother Africa: The Chase. Kenya’s only other representative left in contention is Ann Mbaru.
Take a look at some amateur video from the Eviction Show: Radio & Weasal performing:

Sunday, June 2, 2013

Hili ndilo Tamko Rasmi la Push Mobile na Bongo Records Kuhusu Mauzo ya Nyimbo za Mangwear Kwenye Simu
 WOOTE NYUMA YA BI.HARUSI NI NDUGU ZAKE WA KARIBU
TUKIWA KAMA MAKAKA WA BI HARUSI NIPO NA JEMBE LANGU MWENYEWE EMMANUEL NTAMUTURANO



 DADA WA BI.HARUSI JANETH KADENDULA
 GIOVANNIE GREGORY JEMBE LANGU MWENYEWE AKIWA NA AUNT YAKE
 MAHARUSI WAKISELEBUKA
 WHAT A BEAUTIFUL DAY

 BABA NA MAMA WA BI.HARUSI KATIKA POZI




 Kutoka kushoto Dada wa Bi.Harusi GRACE KABYEMELA Katikati ni AUNT WA BI.HARUSI na kulia ni Dada wa Bi.Harusi HELEN.
 Kushoto ni Dada wa Bi.Harusi LILIAN NTAMUTURANO kulia mwishoni ni MAMA MDOGO.

 Maharusi wakilishana keki
 KAKA wa Bi.Harusi GABRIEL NTAMUTURANO na MKEWE.
 KAKA wa Bi.Harusi CHRISTOPHER KADENDULA na shemeji yake SIMPLISTER.

 MA-Aunt na Uncle wa Bi.Harusi

 Mtu Mzima na Wife  Tulikuwepo.Nikiwa kama Kaka wa Bi.Harusi.





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ