• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Wednesday, October 21, 2015



Tuesday, October 20, 2015

the 2015 Ballon d’OrShirikisho la soka duniani (FIFA) limetoa orodha ya wachezaji 23 ambao wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani kwa mwaka 2015 (the 2015 Ballon d’Or).

Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr ni moja kati ya majina yaliyo tajwa kuwania tuzo hiyo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or kwa mwaka 2015.

FIFA pia wametoa orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa dunia na Jose Mourinho, Luis Enrique na Arsene Wenger ni moja kati ya makocha 11 wanaowania tuzo hiyo ambapo majina ya washindi wote yatatangazwa tarehe 11 Januari 2016 mjini Zurich.
Hii ni orodha kamili ya wachezaji 23
Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)
Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
Karim Benzema (France/Real Madrid
Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/Manchester City)
Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)
Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)
Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich)
Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)
Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)
Thomas Muller (Germany/FC Bayern Munich)
Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)
Neymar (Brazil/FC Barcelona)
Paul Pogba (France/Juventus)
Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)
Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern Munich)
James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)
Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire/Manchester City)
Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern Munich)

HII LIST YA MAKOCHA
Massimiliano Allegri (Italy/Juventus)
Carlo Ancelotti (Italy/Real Madrid)
Laurent Blanc (France/Paris Saint-Germain)
Unai Emery (Spain/Sevilla FC)
Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich)
Luis Enrique Martinez (Spain/FC Barcelona)
Jose Mourinho (Portugal/Chelsea)
Jorge Sampaoli (Argentina/Chilean national team)
Diego Simeone (Argentina/Atletico Madrid)
Arsene Wenger (France/Arsenal)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam.
Mafikizolo
Nhlanhla Nciza na Theo Kgosinkwe wanaounda kundi la Mafikizolo

Tetesi!!!!!
Muimbaji wa kiume wa kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini, Theo Kgosinkwe ameamua kuzielezea tetesi kuwa kundi hilo lipo mbioni kuvunjika.
Tetesi hizo zilianza baada ya muimbaji wa kike wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kuanzisha kampuni yake fashion na Theo kudai kuwa anaanzisha lebo yake mwenyewe.
“Siondoki na hatuvunjiki kama kundi. Siku zote nimekuwa na ndoto ya kuwa producer na nataka kukuza pia vipaji vichanga. Nahisi kuwa huu ndio muda wa mimi kuanza safari mpya kama producer na mfanyabiashara,” Theo aliliambia jarida la Move!

Tayari Theo ameshamsainisha msanii wa kwanza wa kike aitwaye, Melo kwenye lebo yake, 350 Degrees Entertainment.

Credits:2 Bongo 5

Monday, October 19, 2015

The Baduizm singer will be bringing her unexpected antics to the Orleans Arena in Las Vegas, NV on Nov. 6th.  The show will air on Nov. 29th at 8:00 p.m EST time on BET and Centric.
Davido!
Katika weekend hii tumeshuhudia ni jinsi gani Davido alivyoguswa juu ya mtoto huyu wa Mtaani ambaye anaishi mazingira magumu ni mtoto ambaye anastahili kuwa shule kwa sasa lakini kutokana na hali ngumu ya maisha amekuwa mtoto wa mtaani.
Baada ya Kuguswa na hali/maisha ya mtoto huyu aliomba mtoto aletwe kwake maramoja na kuahidi maneno haya kwa jamii na Dunia nzima:-
“I am ready to give his education till he finishes university MY WORD! Can't wait to meet Abubakar and send him to school. He deserves the world!
“Every child deserves an education but it's sad that, that is not the case in the world today but if we all do our part the world would be a better place! GOD bless his soul,” Davido said.
Wasanii wa Bongo tunajifunza nini Hapa?Lets Love Each other!!!!and the World will be a better place...

Sunday, October 18, 2015


Wednesday, October 14, 2015

R&B Singer John Legend na Chrissy Teigen watangaza kuhusu ujauzito wao.
Mkali huyo wa ngoma kama "all of me","tonight", na "ordinary people" couple hiyo imeamua kutangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza miezi kadhaa ijayo.


Monday, October 12, 2015


Sunday, October 11, 2015


 
Diamond Platnumz

Washindi wengine ni Godfather (Best video Director) , AKA (Best Male South Africa ,Best Collabo) , Yemi Alade (Best Female West Africa) , Davido (Best Male West Africa) , WizKid (Video of the Year / Ojueleba) , Yuri ( Best Male Central Africa)
This song"Udambwe udambwe"Has Been Produced By Bob Manecky From AM Records in Tanzania And Writen By Gudluck Rwiza. The Video Was Shoot In Dar es salam - Tanzania By Director Ezzy Viper.

Saturday, October 10, 2015

Kayumba Juma Bongo Star Search Winner 2015


Tuesday, October 6, 2015

Merit - Nakupenda Ft. Patoranking - Art
Pacquiao Music Video MAyweather
Manny Pacquiao has been spending most of his time lately rehabing his shoulder injury but it seems like returning to the ring is only the second most important thing he has planned in 2016.
“Yes, I’m going to run for (a) Senate post this coming 2016 election. But as to which party, that’s still to be determined,” said Pacquiao.”
Manny is currently a Congressman but by most accounts he hasn’t been doing a great job at that recently.
“Pacquiao, you can’t even go to sessions in Congress. Now you want to go to Senate? What are you going to do there?,” said one person.
Manny should try focusing all of his energy on one or the other because he’s taking L’s in both right now.

Monday, October 5, 2015



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ