• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, September 29, 2016

"Kevin Hart"Huyu ndio Mchekeshaji anayelipwa kiasi kikubwa cha Fedha kuliko wachekeshaji wengine Duniani.

No comments:
 
Kutoka katika Jarida la FOBES,Mwaka huu umekuwa mzuri kwa Comedian Kevin Hart baada ya kumpiku mpinzani wake  Jerry Seinfeld ambaye ameshikiria nafasi hiyo ya kwanza toka mwaka 2006.Majumuisho ya malipo ya Jerry Seinfeld yanafikia takribani dola milioni 900 kwa miaka kumi mfululizo.

Kutoka mwezi wa Saba mwaka 2015 hadi mwezi wa Saba 2016,Kevin Hart kaongoza kwa kiasi cha Dola Milioni 87.5 zaidi ya Mpinzani wake Jerry Seinfeld ambaye amepata dola Milioni 43.5 akiwa amemzidi kwa zaidi ya dola Milioni 30.

Zaidi ya yote inasemekana Ushindi huu wa Kevin Hart umetokana na kufanya Tour nyingi kuliko Comedian yeyote Duniani kitu ambacho kimemfanya apate Fedha nyingi kutokana na Tour Hizo.Ikiwa katika miezi kumi na Mbili amefanya zaidi ya Shows 100 ambazo zimempatia zaidi ya Dola Milioni Moja(1) amekuwa akichekesha katika MA-Stadiums na arenas, pamoja na Madison Square Garden na Staples Center.

This Could Be The Challenge to Tanzanian Comedians!!!


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ