• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, June 30, 2016


Friday, June 24, 2016

Hii hapa single mpya ya Marehemu Papa Wemba na Diamond Platnumz ‘Chacun Pour Soi’Legend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hatosaulika katika muziki wa Dansi. Kwa sasa ameshatangulia mbele za haki lakini huu ni wimbo aliofanya na Diamond Platnumz wiki chache kabla ya kufariki. Wimbo unaitwa ‘Chacun Pour Soi’


First Lady Michelle Obama
Hakuna shaka kwamba  Michelle Obama akiondoka Ikulu ya Marekani (White House) hapo Januari mwakani ataacha historia ya kuwa one of the coolest First Ladies the USA ever. Hakuna ambacho hajakifanya mpaka sasa. Haishangazi kwamba ana ushawishi mkubwa sana sio tu miongoni mwa wasichana bali wanawake na wanaume kwa ujumla.
Katika kuongeza “cool factor” amejiunga na mtandao wa kijamii unaokua kwa kasi waSnapchat. Anatumia jina la michelleobama . Kwa wale ambao mna makazi kwenye snapchat mnaweza kumfuata First Lady ambaye amesema kupitia mtandao huo atakuwa akiweka kila kitu atakapokuwa safarini wiki ijayo nchini Morocco,Spain na Liberia. Huko anatarajiwa kuonana na wasichana wasioenda shule katika mojawapo ya kampeni zake kusisitiza kuhusu elimu hususani kwa watoto wa kike.
Michelle Obama tayari ana followers kama milioni 4.5 kwenye Twitter na milioni 5 kwenye Instagram.
Moise Katumbi
Katika hatua ambayo inahofiwa huenda  ikazusha ghasia na machafuko nchini Congo DRC, mfanyabiashara maarufu, Moise Katumbi, ambaye mwezi Mei alitangaza kuwa mgombea urais, amehukumiwa kwenda jela kwa miezi 36 (miaka 3).
Kwa mujibu wa BBC, Moise Katumbi, gavana wa zamani wa Jimbo La Katanga na mmiliki wa timu maarufu ya soka ya TP Mazembe na mwenye umri wa miaka 51 amehukumiwa bila mwenyewe kuwepo mahakamani kwa kosa la kuuza mali isiyohamishika(nyumba) kinyume cha sheria huko Lubumbashi. Hukumu hii ina maanisha Katumbi hatoweza kugombea Urais mwezi Novemba. Katiba ya Congo DRC inakataza mtu yeyote ambaye aliwahi kupatikana na hatia kugombea Urais.
Mbio za urais za Moise Katumbi katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba, zinaungwa mkono na vyama 7 vya upinzani (maarufu kama G7) kitu ambacho kinasadikika kumkosesha raha Rais wa Congo DRC,Joseph Kabila ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2001. Haijajulikana wazi kama Rais Kabila ataachia madaraka kirahisi baada ya kumaliza muhula wake wa mwisho wa Urais au atafuata nyayo za viongozi wengine barani Afrika kubadili katiba ili aendelee kutawala.
Mbali na adhabu ya kifungo, mahakama ya mjini Lubumbashi pia imempiga faini  ya kiasi cha dola milioni $6 kutokana na kosa hilo la kuuza jumba hilo ambalo raia mmoja wa Ugiriki anadai ilikuwa ni mali ya familia yao na yeye angekuwa mrithi wa mali hiyo. Katumbi alituhumiwa kutengeneza makaratasi ya uongo.
Katumbi hakuwepo mahakamani wala nchini kwani aliondoka  tangu Mei 20 amri ya kukamatwa kwake ilipotolewa kwa makosa ya kuajiri wageni maadui wa taifa kinyume cha sheria kitu ambacho kinadaiwa alihatarisha usalama wa nchi. Katumbi alikuwa amemuajiri mshauri wa masuala ya kiusalama mmarekani Darryl Lewis, ambaye alikamatwa akiwa na walinzi wengine watatu. Aliachiwa siku sita baadae.
Alifanikiwa kuondoka nchini Congo kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa . Baada ya kuondoka alielekea nchini Afrika Kusini kabla ya kwenda London,Uingereza inapoaminika yupo mpaka hivi sasa. Mwenyewe anakana mashtaka yote hayo akiyahusisha na siasa zinazoendelea akidai ni juhudi za Rais Kabila kumzuia asigombee.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail la nchini Uingereza ambalo linamnukuu mwandishi wa AFP inasemekana mwanzo Jaji mmoja miongoni mwa majaji watatu waliokuwa wanasikiliza kesi hiyo aligoma kutia sahihi hukumu. Katika mshangao wa wengi,masaa machache baada na kabla siku haijamalizika hukumu ilitolewa ikiwa imepigwa sahihi na majaji wote.
Mwanasheria wa Katumbi, Mumba Gama ameiambia AFP kwamba anaamini Jaji huyo amelazimishwa na mamlaka za juu kupiga sahihi kitu ambacho ameridhia kwa shingo upande. Mwanasheria wa Katumbi ameahidi kukata rufaa.
Katumbi na Rais Joseph Kabila walikuwa washirika kwa muda mrefu mpaka mwezi Septemba mwaka jana walipohitilafiana baada ya Rais Kabila kutangaza mpango wake wa kuligawa jimbo la Katanga ambalo ukubwa wake unalinganishwa na nchi ya Hispania katika majimbo mengine manne. Katumbi alipingana na wazo la Rais Kabila na kujiunga na upinzani kwa chama cha People’s Party for Reconstruction and Democracy. Jimbo la Katanga lina utajiri mkubwa wa madini.
Kim Jones (Men’s Style Director)
Louis Vuitton Malletier, commonly known as Louis Vuitton or shortened to LV, is a French fashion house founded in 1854 byLouis Vuitton. The label’s LV monogram appears on most of its products, ranging from leather goods to ready to-wear, shoes, watches, jewelry, accessories, sunglasses and clothes. Louis Vuitton is one of the world’s leading international fashion houses; it sells its products through boutiques, lease departments in high-end department stores, and through its website. The company operates in different countries with a lot of  stores worldwide.
In 1892 when Louis Vuitton died, the company’s management passed to his son Georges Vuitton began. He runs the company and cooperate with different companies to make it grow. Entering the 1990s, Yves Carcelle was named president of LV, and in 1992, his brand opened its first Chinese location at the Palace Hotel in Beijing. Further products became introduced and now it has many different peaces in different categories.
 By 2001, Stephen Sprouse, in collaboration with Marc Jacobs, designed a limited-edition line of Vuitton bags;  that featured graffiti written over the monogram pattern. Certain pieces, which featured the graffiti without the Monogram Canvas background, were only available on Louis Vuitton’s V.I.P. customer list. Jacobs also created the charm bracelet, the first ever piece of jewelry from LV, within the same year.
As of September 2013, the company hired Darren Spaziani to lead its accessory collection. November 2013, the company confirmed that Nicolas Ghesquière had been hired to replace Marc Jacobs as artistic director of women’s collections, and April 2014, Edouard Schneider became the head of press and public relations at Louis Vuitton under Frédéric Winckler, who is Vuitton’s communications and events director.
The Louis Vuitton company seeks to cultivate a celebrity following and has used famous models, musicians, and actors such as Keith Richards, Madonna,  Angelina Jolie, and most recently Jaden Smith  in its marketing campaigns.
This year, on Thursday  23rd, Kim Jones (Men’s Style Director) presented LV men’s collection of Spring 2017 “Leather Heritage” at Milan  in Paris. Celebrities like Dwayne Wade(Basket baller) David Beckham (Soccer Player), Victor Cruz (Football player) were seen in front raw enjoying the show.
Some of the peaces shown at the Men’s Fashion week in Paris:










I actually love the collection, as Kim Jones mentioned before this collection was inspired by trips to Africa and his own artistic phase he was in. I enjoy the animal prints collaborated in leather travelling bags, I also like the men jewelry he dressed the models, from leather to silver accessories. In general I love the collections. I don’t know about you, please share in the comment below, what did you like about this collection?
 Loved the details of the collection and thought I should share this video with you to see.
You didn’t get the Ticket? follow me and enjoy the show.

Wednesday, June 22, 2016

Single mpya kutoka kwa Manager Maneno kwa mara hii akiwa ameifanya katika studio za Vaku Records akiwa amemshirikisha Buddest.
Enjoy!!!
https://www.youtube.com/watch?v=WsjgCN9-PBE
Single mpya kutoka kwa Kassim Mganga ikiwa ni single yake ya kwanza kwa mwaka huu,Ikiwa imefanywa na Producer Sheddy Clever..
Enjoy!!!

Monday, June 20, 2016

https://youtu.be/C-WL61BRNvE

Sunday, June 19, 2016

Single mpya Kutoka kwa Chadogg msanii mpya kutoka Radar Entertainment kampuni ambayo imefanikiwa kutoa vipaji vya vijana wengi wenye fani tofauti akiwemo BILNAS,MANGWEA,ROMY JONES,CHIM BITTER na wengine wengi.
Chukua dakika zako chache kusikiliza single hii...!!!!!

Thursday, June 9, 2016


Wednesday, June 8, 2016

Unaweza Jifunza kitu kikubwa ukimaliza kuangalia Video hii!! kutoka kwa Mchungaji Apostle Maboya
– He is known for on and off pitch drama that even makes football interesting
– It is interertung o see him play against Arsene Wenge team as he always provokes Wenger
– He is a specialized at making opponents players and coaches go mad 

1. He’s a number one master who knows how to win

Even when his troops are expected to lose, the tactical specialised wins. In 2004, he did it with Porto against Man United  and with Internazionale against Barca in 2010 in Camp Nou. Even if many accuse Mourinho of playing uninteresting  football, the man is still winning.
2. He understand how to keep pressure off his players
The Special One is the best in directing all pressure away of his players before tackling big boys. He talks high, trash talks, messes with the journalists and makes himself look foolish sometimes just to ensure that his players are in complete concentration with no distractions caused by the media.
Jose Mourinho knows how to make rivals go mad
Jose Mourinho (centre) gestures during the presentation of the Premier League at Chelsea football club.

3. Mourniho can’t be touched
When Sky Sports asked about Chelsea losing 3-0 to West Bromich one week after winning the fifth league trophy, he repiled:If you blame somebody, you have to blame the four clubs- Man City, Man Utd, Arsenal and Liverpool because they let us win the title so early. When he loses, he knows how to drive his rivals crazy.

4. He knows how to get the best out of his players
Marco Materazzi cried when he found out that Mourinho will part ways with Real Madrid. Man U target Zlatan Ibrahimovic once said: ‘I’d die for Jose’. There must be a special reason why his players love him.
5. He’s charismatic
From the way he celebrates goals on the field to calling himself ‘The Special One’, it seems like he acts more than he coaches. This charismatic personality makes many to love him.

6. He knows how to make rivals go mad

He likes to drive Arsenal’s fans crazy. Winning 6-0 at Stamford Bridge, and not giving Arsene Wenger a chance to win even a single game against him, he knows how to make all Arsenal go nuts.
Jose Mourinho knows how to make rivals go mad
Steven Gerrard and Jon Flanagan of Liverpool have words with Jose Mourinho.

7. And he knows how to win hearts too
No manager would care to welcome a member of press to ask about his condition before a big match. Only Mourinho did this in a press cbriefing prior the game against Man Utd. The journalist ‘Rags Martel’ had recently recovered from cancer before Mourinho walked out of his chair and greeted him.

8. He gave life to Chelsea

Mourinho is the main reason for Chelsea’s outsatnding performance in the last 11 seasons. From an above average English team with one single league trophy in hands, Mourinho turned Chelsea into a winning machine and major contender in all of Europe.
Jose Mourinho knows how to make rivals go mad
Jourinho managed Inter between 2008 and 2010.
9. He’s a role model for high achievers
He wins alwys, he works hard and favors nobody and with his great leadership skills he motivates his team to achieve great things . Like him or hate him, the man is a real winner

Collabo nyingine ya wakali hawa wawili Mr.Blue na Alikiba "Mboga Saba",Ikiwa imeandaliwa katika Studio za Man Walter.
Enjoy!!!!!

Saturday, June 4, 2016

Story iliyozagaa katika siku mbili hizi Juu ya Chuo Kikuu cha UDOM kumiliki wanafunzi Vilaza wasio na sifa za kuwa chuoni hapo...

Sikiliza alichoongea Raisi juu ya Wanafunzi hao!!!
"The Return of the SuperMan" 
Hii ndio maana halisi ya Kurudi kwa SuperMan baada ya mkali Jay Moe kuachia single yake mpya "Pesa Madafu"single ambayo imetrend vizuri ndani ya siku chache na kuwa Gumzo mitaani.
Hii hapa Video yake Nimekuletea tupate Share wote GOOD MUSIC from this HIP HOP LEGENDARY!!!!
HII NDIO SINGLE YAKE...HII NDIO VIDEO YAKE...






The Greatest Fighter Of All Time, Muhammad Ali  amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74. Ali ameiaga dunia huko Phoenix, Arizona baada ya kulazwa hospitali akisumbuliwa na matatizo ya kushindwa kupumua (respiratory complications) na kukohoa. Lakini kwa miaka mingi, Muhammad Ali, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson aliogunduliwa kuwa nao mwaka 1984 akiwa na miaka 42 na ikiwa ni miaka 3 tu tangu astaafu ngumi za kulipwa mwaka 1981.
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari, msemaji wa familia, Bob Gunnell, amethibitisha kuhusu kifo cha Muhammad Ali kwa kusema, “Baada ya miaka 32 ya kusumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson, Muhammad Ali ameiaga dunia akiwa na na miaka 74.
Muhammad Ali alizaliwa Januari 17,1942 (akapewa jina la Cassius Clay) huko Louisville, Kentucky. Alianza masumbwi akiwa na umri wa miaka 12. Mwaka 1960 alielekea Rome, Italy katika mashindano ya Olympics ambapo alishinda medali ya dhahabu. Aliingia katika ngumi za kulipwa muda mfupi baada ya kutoka Rome.
Miongoni mwa mapambano yake yanayokumbukwa sana ni pamoja na lile alilopambana na bondia Sonny Liston ambaye alikuwa anaogopeka sana. Ali alishinda pambano hilo. Pia mapambano dhidi ya Joe Frazier yaliyoitwa Fight Of The Century na Thrilla In Manillayanakumbukwa sana. Kwa upande wa Afrika pambano lililoitwa Rumble In The Jungle la mwaka 1974 mjini Kinshasa dhidi ya George Foreman linakumbukwa sana. Ali alikuwa na miaka 32 tu enzi hizo.
Mbali ya ngumi, Muhammad Ali anakumbukwa kama mtu aliyetetea kwa nguvu zote haki za watu weusi na ukandamizaji wa aina yoyote. Mara baada ya kubadili dini kuwa mwislamu na kuchukua rasmi jina la Muhammad Ali, alikataa kujiunga na jeshi la Marekani mwaka 1967 ili kwenda kupigana katika vita dhidi ya Vietnam. Kitendo cha kukataa kujiunga na jeshi kwenda kupigana kilisababisha anyang’anywe mikanda yote. Hakujali. Na kadiri vita ya Vietnman ilivyozidi kupoteza umaarufu au kutoungwa tena mkono na raia wengi wa Marekani, umaarufu wa Muhammad Ali ulizidi kukua. Katika miaka ya 70s alikuwa miongoni mwa wanamichezo maarufu sana duniani.
Pambano lake la mwisho lilikuwa dhidi ya Trevor Berbick mwaka 1981. Mwaka 1996, kama unakumbuka, Ali ndiye aliyewasha tochi ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika jijini Atlanta nchini Marekani.
Atazikwa Louisville, Kentucky alipozaliwa. Pumzika kwa amani #TheGreatest
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Msanii Alikiba amefanikiwa kuiteka Dunia ndani ya Wiki moja kwa Audio na Video yake kufanya vizuri katika vituo tofauti vya TV Stations Na Redio Stations tofauti Duniani baada ya Video ya wimbo huo kufikisha watazamaji 1,200,000 ndani ya wiki moja pia kwa kutumia njia ndogo ila ni kubwa kisanaa baada ya kufanya Video ambayo upekee wake ni kuwa hakumshirikisha mtu katika Video hiyo bali ameongeza Lugha ya Kifaransa ambayo imempa Credit  kubwa baada ya kupata Fans wa kutosha wanaojua Kifaransa na kusikiliza nini alichokiongea katika AJE,
Upekee mwingine ni katika Audio ya Nyimbo hii ambayo amemshirikisha M.I kutoka Nigeria."ALISEMA ALIKIBA"
Audio Hii hapa:-
Video Hii hapa:-

Friday, June 3, 2016

Takribani kila mtu mzima ana saa ya mkononi. Inaeleweka. Lakini kuna saa na saa. Kuna saa ambazo bei yake yaweza kuwa sawa na ka-jumba kadogo. Kuna saa za thamani kupita maelezo. Mfano ni saa za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambazo zimezua gumzo nchi kwake na kwingineko.
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
1. Patek Phillipe Nautilus series – valued at $26,000. That is about KSh 2.6 million.
All that class, the president wears it on his wrist. A symbol of sophistication and prominence.

Away from all that blithering, see below, the six watches that Uhuru Kenyatta owns:
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
2. Parmigiani Pershing series -$ 25,000 valued at KSh 2.5 million
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
3. Rolex Submariner – $ 11,150 valued at KSh 1.5 million
His Brioni suits are no different. Neither are his Hugo boss shirts. The cheapest suit according to a connoisseur that I personally talked to, is not less than KSh350,000!
That’s like 4 years rent in Roysambu or Satellite? Yes?
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
4. Rolex Oyster Perpetual Datejust Gold – $ 14,500 translates to KSh 1.4 million
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
5. Audemars Piguet Royal Oak – $ 48,000 that is around KSh 4.8 Million
Uhuru Kenyattta spent KSh 13 million on wrist watches
6. Rolex Submariner Green Bezel $ 8,500

Mtandao wa tuko umeorodhesha saa mbalimbali ambazo Rais huyo amekuwa akizivaa. Sehemu ya habari hiyo ya tuko.co.ke inasema;
– President Uhuru Kenyatta’s six top-of-the range wrist watches cost enough money to build a four-bedroom house in Kiambu
– The cheapest of them all, a regal, imposing, Rolex Submariner Green Bezel,  are estimated to cost around KSh 850,000- an average middle class’s yearly wages 
His four alleged watches’ value is enough to keep you bathing in Champagne for ten years. Or more.
To some, the cost of his Rolex GMT Master II is the price of a Toyota Axio- your first car after taking a loan.
It is probably what some social media users say, the amount you would be required to pay as dowry for two beautiful Nyeri women.
Rapper Drake, mzaliwa wa Toronto,Canada hivi sasa anaelea kwenye mafanikio makubwa ya muziki. Tangu kutoa album ya VIEWS sio tu amefanikiwa kuingia katika orodha ya wanamuziki 5 wa hip-hop matajiri (kwa mujibu wa Jarida La Forbes) bali pia album yake hiyo hivi sasa inashika nafasi ya kwanza katika chati zote za Billboard.
Hivi sasa album hiyo inashika nafasi ya kwanza miongoni mwa album 200 kwa wiki ya nne sasa. Single yake ya Once Dance inashika nafasi ya kwanza kati ya single 100 na yeye mwenyewe Drake anashikilia namba moja kati ya wasanii 100.
Single yake hiyo ya One Dance pia inashikilia nafasi ya kwanza miongoni mwa nyimbo zilizoombwa na kuchezwa zaidi redioni. Pia inashika nafasi ya kwanza katika nyimbo za R&B/Hip-Hop, nyimbo za digitali R&B/Hip-Hop Digital, Nyimbo bora za R&B , R&B Streaming  na Rhythmic. Album yaVIEWS inashika nafasi ya kwanza katika chati kwa upande wa Rap.
Ni muda umepita tangu Jay Moe aachie wimbo mpya. Kawaida msanii anapokaa kimya kwa muda mrefu huwa kuna tegemeo fulani kwamba akirudi “mtamkoma”. Sasa suala la kumweka mtu kati msanii kama kapatia au la, ni la mashabiki. Ni lenu wasikilizaji.
Wimbo unaitwa Pesa Madafu. Usikilize hapa chini
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ