• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, December 29, 2015

Chukua dakika zako tatu kuwaangalia Fabolous na Chris Brown wakifanya yao katika video ya Wimbo "She Wildin".
Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania. Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31 katika ukumbi wa King Solomon Jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa Account yake ya Instagram.

Diamond Platnumz ameachia video ya behind the scenes ya wimbo na video ya Utanipenda. Ndani mama yake, Zari, Tale, Fella na wengine wamezungumza.

Sunday, December 27, 2015

Anaitwa TID THE LEGENDARY leo sehemu ni moja tu wanakutana malegendary wote ndani ya CLUB BILZ 27/12/2015

"Make Am" tells the story of two young, hustling friends who are both looking for their way out of the ghetto. When one of them finally makes it, the money, fame, glitz and glamour changes his character. Patoranking’s “Make Am” delivers the message that anybody can make it, no matter where they start. Don’t look down on anyone. Endorsed by Lagos State. #Whayas

Enjoy!!

Saturday, December 26, 2015

 Izzo Bizness ameamua kwenda hard na tofauti zaidi kwenye ngoma hii mpya 'Walalahoi' iliyotayarishwa na producer Duppy.Hapa kamshirikisha Navio na Mwasiti...
Enjoy!!!!
Siku chache zilizopita walioneka Msanii Wale na Raisi Barack Obama katika Picha ya Pamoja,
Tukichukulia Kibongo Bongo Raisi wetu wa Tanzania atashikwa na Msanii kwa staili kama hii?

MREMBO swahili word meaning beautiful. Dedicated to all the waremboz out there. RAPCELLENCY.
Will Prezzo ever settle down with just one girl? Well, maybe not in this lifetime. Even with the baby drama from his ex wife, he shared some photos of his hot new catch. He calls her Angel Eyes. In one of the photos she is getting a tattoo and Prezzo calls it marking his territory.
Caption: My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly


MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya akapige kambi nchini humo ni kuchoshwa na maneno ya watu ambao kazi zao ni kutazama nani kafikwa na baya ili waeneze sumu ya maneno.

Kwa sauti ya ‘kibabe’ na yenye mamlaka, Jide alisema: “Lakini ukiachana na Ujerumani, wakati mwingine natumia muda mwingi kuwa nchini Afrika Kusini (Sauzi) kwa mizunguko ya kimaisha na kupumzisha akili yangu.”

UJERUMANI ANA NYUMBA?

Jide: “Kwa sasa naishi hotelini, lakini kuna marafiki na jamaa zangu ambao wako kule. Kwa hiyo sina shida. Muhimu ni kukaa mbali na maneno ya watu wafurahiao matatizo ya wengine.

Kila mtu anageuka adui, ukiwa na mafanikio makubwa, watu wanajisogeza karibu, ukipungukiwa na jambo, haohao wanaanza maneno na kukusema vibaya, maisha hayatabiriki.”

HATAKI KUSIKIA MAPENZI!

Amani: “Vipi kuhusu mumeo, Gardner Habash, una mpango wa kurejeana naye?”

Jide: “Sitaki kusikia kabisa mambo ya mapenzi. Sitaki na usiendelee kuuliza upuuzi kama huo tafadhali. Si tu kwa huyo mtu (Gardner), hata kwa awaye yeyote, sitaki kusikia.”

ASIULIZWE KUHUSU MALI ZAKE!

Amani lilimuuliza Jide kuhusu ukweli juu ya madai kwamba amefilisika na kufikia hatua ya baadhi ya nyumba zake kuwa katika hatihati ya kupigwa mnada.

Jide: “Sitaki kugusia mambo hayo. Hata hivyo, umebahatika sana kupokelewa simu na kuzungumza na mimi, licha ya kuwa umejitambulisha unatoka Global. Sipendi mazungumzo na waandishi, hususan nyie wadaku.”

KUHUSU MUZIKI?

Jide: “Siwezi kusema nimeacha muziki, nipo maana ndiyo kazi pekee iliyonitambulisha.

Nawaasa mashabiki wangu waendelee kiniunga mkono, nawapenda sana na bila wao hakuna Jide. Lakini kwa sasa kuna mambo nayaweka sawa nje ya muziki.”

YUPO DAR AU KWINGINEKO?

Jide: “Kwa sasa niko Dar (Jumatatu), lakini keshokutwa (majuzi

Jumatano) nitakuwa nyumbani Musoma kwa ajili ya Krismasi. Niko kwenye mapumziko maalum ya sikukuu hiyo, lakini baada ya hapo, nitaendelea na mambo yangu mengine, ikiwemo kurejea Ujerumani.”

Chanzo: Global Publishers

Thursday, December 24, 2015

“To celebrate the Christmas season, Yemi Alade has released a Swahili version of her inspirational hit single “Na Gode”.
The track retains the original production credited to Selebobo; but Yemi Alade switches the vocal arrangement and lyrics, as the vocal powerhouse delivers the fan favourite in Swahili. Yemi Alade fell in love with the language during her numerous visits to East Africa, Kenya and Tanzania to be precise.

Wednesday, December 23, 2015


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE inayotolewa na kampuni hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya TTCL, Peter Ngota akiwa katika mkutano huo.
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya TTCL, Peter Ngota (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya TTCL kuzinduwa teknolojia ya 4G LTE iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura.

Kulia ni wataalamu wa huduma ya teknolojia ya 4G LTE kutoka TTCL wakitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wageni
 waalikwa walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa mtandao unaotumia teknolojia ya 4G LTE.
KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) leo imezinduwa mtandao unaotumia teknolojia ya
 4G LTE 
unaoanza kutoa huduma jijini Dar es Salaam. Mtandao huo wenye teknolojia mpya na ya kisasa 
wenye kasi kubwa utatoa huduma katika maeneo 11 ambayo ni pamoja na Uwanja wa Ndege
 wa
 Mwalimu J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay,
 Mwenge, 
Mbezi Tangibovu, Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala, na Wazi Tegeta.
Aliyataja maeneo mengine ambayo mitambo inaendelea kufungwa kwa sasa kuwa ni pamoja na Kigamboni, Masaki, Temeke, Kimara, Jangwani, Kariakoo, Chuo Kikuu, Kurasini, Mbezi Chini Gongo la Mboto, Tabata, Kibamba, Kongowe na Bunju.Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati akizinduwa rasmi teknolojia hiyo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura alisema licha ya kuzinduwa huduma hiyo katika maeneo 11 kwa sasa mafundi wa kampuni hiyo wapo kazini wakiendelea na awamu ya pili ya kufunga mitambo ili huduma hiyo itolewe pia katika maeneo mengine 14 ya jiji la Dar es Salaam.
“…Awamu ya pili ya mradi huu itakuwa imekamilisha maeneo yaliyobaki ya mkoa wa Dar es Salaam na pia kupeleka mawasiliano hayo katika mikoa mingine ikiwa ni pamoja na Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma na kwingineko,” alisema Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kazaura.
Alisema uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE unakuwa umekamilisha nia ya siku nyingi ya kampuni ya TTCL ya kuwahudumia wateja katika nyanja zote za mawasiliano (Fixed-mobile convergence) kwa kutumia teknolojia ya simu za mezani na simu za mkononi.
Akifafanua zaidi Dk. Kazaura alisema uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE utakuwa na mchango mkubwa katika kukuza na kuongeza kasi ya shughuli za maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kuchangia katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano na pia kuongeza uzalishaji kwenye sekta mbalimbali za maendeleo.
Aidha aliongeza kuwa TTCL inaamini mtandao wa 4G LTE utafungua fursa pekee katika kukuza sekta ya elimu nchini kwa njia ya mtandao (E education). Na pia ubora wa huduma hiyo ya intaneti utatoa fursa kwa wanafunzi, wakufunzi, wataalam, wanazuoni na walimu kutumia teknolojia katika kujifunza mambo mbalimbali ya kitaaluma na nje ya taaluma.
Kwa upande wake Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya TTCL, Peter Ngota akifafanua zaidi kwa wanahabari alisema mtandao wa 4G LTE utaongeza fursa katika sekta ya afya ambapo hospitali, vituo vya afya, vyuo vya afya na wadau mbalimbali wataweza kutumia mtandao huo katika kuongeza ufanisi wa kutoa huduma bora za afya kwa wananchi tena kwa haraka zaidi.
Alisema mtandao huo pia utazinufaisha sekta nyingine za kiuchumi kama vile sekta ya biashara, viwanda, kilimo na nyinginezo. “…Wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa wanahitaji mawasiliano ya uhakika katika shughuli zao. Mtandao huu wa 4G LTE utakuwa mkombozi wao na utaleta mageuzi katika kuongeza uzalishaji, kupanua wigo wa masoko ya bidhaa kwa wakulima, masoko kwa wajasiliamali, masoko kwa makampuni ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,” alisema Peter Ngota.
Hata hivyo, Ngota aliongeza kuwa uzinduzi huo unaenda sambamba na uboreshaji vifurushi rafiki vya intaneti kwa wananchi hivyo kuwaomba wananchi kuiunga mkono kampuni ya kizalendo ya TTCL katika kuboresha huduma za mawasiliano nchini.
Brand new single From Tanzanian Artists Mackapizzo Mc ft.DDC Mlimani Park goes by the name Msimbazi Kota,
Produced by Man DVD
Enjoy!!!

Tuesday, December 22, 2015

Official Music video for Shem Lake performed by Izzo Bizness featuring Mwana FA & G-Nako directed by Khalfani Khalmandro ,Tanzania . Produced by Nahreel at The Industry Studio in Dar es Salaam, Tanzania.
Mavin Mega Superstar and Godwin singer Korede Bello teams up with the SMD first lady Tiwa Savage for Romantic, a beautiful new single produced by Don Jazzy. Here is the music video.

Monday, December 21, 2015


Sunday, December 20, 2015

Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara.

Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano hili la 65 ni Russia, Philippines, Guyana, Lebanon, Spain, Jamaica, France, South Africa, Spain and Australia.
 Wataalamu hao wanatoka kikosi cha jeshi la wanamaji wa Kenya na idara ya polisi wa upelelezi. Ndege moja ya abiria ya Air France Boeing 777 AF463, inayohudumu kati ya Mauritius na Paris imelazimika kutua kwa ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Mombasa - Kenya baada ya kifaa kinachodhaniwa kuwa bomu kupatikana ndani ya choo cha ndege hiyo. Mhudumu mmoja wa ndege hiyo alimfahamisha rubani kuhusiana na kifaa hicho ndipo shughuli za kutua kwa dharura zikaanza. Katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter, kamanda mkuu wa polisi nchini Kenya Jenerali Joseph Boinnet.


 Ile video iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi kupita kiasi kuona kuwa Alikiba na Bella wamefanya nini katika video hii,Nimejaribu pitia account ya Alikiba kuona Comments za Mashabiki juu ya video hii,na haya ndio yaliyoongelewa na mashabiki.all in all This is the Killer Video...Big up sana Kiba na Bella.
Enjoy This Video!!!!


African Banger Dj Maphorisa - Soweto Baby feat Wizkid & Dj Buckz produced by DJ Maphorisa 'Themba Sekowe' and Dj buckz 'Obakeng Ramahali'
Lyrics by Wizkid the biggest artist in africa, Dj Maphorisa and Dj Buckz from South africa
Directed by Film Factory 
New Money Gang Records x StarBoy Music

Saturday, December 19, 2015

Published on Dec 19, 2015
Here is the new Ommy Dimpoz video for the new smash hit called "Achia Body" which was directed by OB Films .The Video was shot on location in Johannesburg, South Africa, The song was Produced by Manwater (Combination Sound) and Mo Fire .
 Davido akiwa stejini katika Show ya

Rhythm Unplugged 2015







DAVIDO WAKITETA NA TREY SONGZ




TREY SONGZ ON STAGE
DAVIDO NA TREY SONGZ KATIKA STAGE MOJA KATIKA USIKU WA RHYTHM UNPLUGGED 2015.
The American R&B Superstar Trey Songz,ambaye kwa sasa yupo Nigeria kwaajili ya Pepsi Rhythm Unplugged 2015,ameongea kuwa anafanya mipango ya kufanya kazi na Muimbaji Davido.

American singer, Trey Songz and Davido both performed on stage to thrill guests at the 11th edition of Rhythm Unplugged that happened last night, December 18, at the Eko Convention Centre in Victoria Island, Lagos. The ‘Na Na’ hitmaker also announced that fans should anticipate a hit collabo with the Omo Baba Olowo, which will be soon be released...

Trey Songz alisema Davido ni Artist wa ajabu na anategemea kufanya nae kazi soon.Nyimbo hii itafanya mabinti wazidi kupagawa na wakali hawa maana Single hi inavionjo vikali sana.

Show hiiiliwashirikisha masuperstar kama P-SQUARE,WIZKID,OLAMIDE,M.I,KOREDE BELLO,REEKADO BANKS,KISS DANIELS,RUNTOWN,VICTORIA KIMANI,DJ XCLUSIVE, na DJ CUPPY.

Siku ya September 4,Davido aliweka kipande kidogo cha Single yao ‘Wetin You Say’ featuring Trey. katika Instagram.
He captioned it: ‘TRIGGA ROCKIN TO OUR NEW SHIT!! WETIN U SAY FT @TREYSONGZ COMING ASAP!! ALBUM CRAZY! WAIT TILL U SEE THE SUPRISE!!’...https://www.instagram.com/p/7N79AwKUMQ/

PICTURE CREDITS: PULSE AND YNAIJA.COM

Now that you have landed your dream job, keep in mind that the hard part has truly just begun. It is important that you impress your employer, on the most part, and make it easy for them to consider you for promotion, and other career perks. Here are a few things you need to do for this to happen.
1. Bond with the team: You need to be able to work well with your team, so your employer can see that you are dedicated to making things run smoothly in the company.
2. Have ideas: During meetings, or other mediums that gives employees a chance to share ideas, make sure you do so.  Yes, not all your ideas will be used, but if you keep suggesting them, you let your employer know that you are always thinking of the betterment and growth of the company. This is what every employer wants.
3. Avoid mediocre work: A lot of people only focus on doing the bare minimum when it comes to their job. They will stick rigidly to the job description and fight any opportunities that will make them deviate from it. This is wrong. If you plan to grow in a particular company, be sure to take some chances. This does not mean you should overwork yourself trying to do it all, but make an effort to do more than you are asked from time to time.
4. Take initiative: Have you noticed that almost every job description is seeking for someone who has the ability to work with “minimal or no supervision?” This is because employers cannot be everywhere at the same time. They need someone who will take initiative and do things that needs done without waiting for someone to tell them. This is an important trait to have.
5. Be respectful: Even if your boss is the joker of the office, you still need to be respective when communicating with them. Just because you have a fun boss does not mean you should forget that there are boundaries and begin to disrespect them. Sure, a little fun is fine, if welcomed, but do not let your guard down and blab/play away. He/she is still your boss, not your buddy at a bar. Know the limits.
6. Be punctual: You do not have to always be the first at the office everyday, just make sure you are punctual and arrive on time. Punctuality is not something your boss will yell at you for everyday, but trust us, they will notice. And when time comes to promote someone or cut down on staff, your punctuality will affect the decisions they will make concerning you.
7. Be reliable: If you say you are going to do something, no matter how small the task is, do it. Let your fellow employee and your employer be able to rely on you. It lets them know they do not have to worry about a thing as long as you say you got it.
Remember, getting the job does not mean you now get to relax. It is time to buckle up and prove to them that they did not make a mistake hiring you.

Official Video ya Msanii MR BLUE. wimbo unaitwa BAKI NA MIMI na audio imetengenezwa na DUNGA. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani.
The word UTANIPENDA means WOULD YOU LOVE ME.... This is an inspirational song talks about the real life of Diamond Platnumz it's like a Question he ask to his girlfriend... what if he loose everything that he has right now, the fame and all the things that he own would she still love him??.... The Song was written and Sang by Diamond Platnumz and produced and get Mastered by Tuddy Tomas all from Tanzania...The Video was shot in Dar es salaam Tanzania and Johannesburg South Africa under Godfather Production.
Enjoy!!!!
Hili ni jengo la (TPA) Tanzania Ports Authority,likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi,jengo hili Lina maeneo ya ofisi na nyumba za makazi , sehemu ya mgahawa, mabenki, bwawa la kuogelea, sehemu za kufanyia mazoezi, maegesho ya magari na maofisi mbalimbali.
 lipo jirani na Majengo pacha yenye ghorofa 35 ya PSPF Towers yaliyopo mtaa wa Sokoine jijini Dar es Salaam yaliyozinduliwa Septemba 16, 2015 na Rais Jakaya Kikwete.

Picha chini zikionesha majengo pacha ya PSPF na Jengo la TPA.


Imeelezwa kuwa PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa meta 147.
Ujenzi wa jengo hilo ulichukua miaka minne (2011 hadi 2015) na limegharimu shilingi bilioni 139.20 za Kitanzania. Lina maeneo ya ofisi na nyumba za makazi 88, sehemu ya mgahawa, mabenki, bwawa la kuogelea, sehemu za kufanyia mazoezi, maegesho ya magari na kadhalika.

Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (meta 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (meta 210) lililopo Moroko, Ponte City (meta 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (meta 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (meta 152), Pear dawn (meta 152), Met Life Centre (meta 150) na 88 on field (meta 147) yote ya Afrika ya kusini.

Engineer aliyejenga Majengo pacha ya PSPF ndiye mjenzi wa Ghorofa hili la TPA lenye umbo la Meli.
Tusubiri sifakamili za jengo hili pindi wamalizapo ujenzi huo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ