• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, January 31, 2016

Beef ya kanye imechukua picha nyingine baada ya Kanye ku-tweet kama anaomba msamaha kwa Amber Rose na Wiz khalifa baada ya kumuongelea mtoto wao vibaya.

Kanye West alivuka mipaka alivyoasema kwa Wiz Khalifa kuwa yeye anammiliki mtoto wake kwa maneno haya “I own your child!!!” Maneno ambayo yalimaanisha mtoto wa Wiz na Amber anayeitwa Sebastian.

Siku ya ijumaa jioni Rapa huyu na Baba wa watoto wawili alitweet kiapo hicho,hii imetokana na Beef aliyoianzisha mapema wiki hii na Rapa Wiz Khalifa.

Saturday, January 30, 2016


Friday, January 29, 2016

Jumapili hii 31/01/2016 Sio ya kukosa ndani ya Club Billz Q-Chilla na Band yake watakupa burudani ya kutosha ikiambatana na utambulisho wa Single mpya ya "WATU NA MAISHA YAO'' single ambayo soon itakuwa Gumzo baada ya Chilla kurudisha ufundi wake na kuongeza vionjo vya kisasa,Watanzania na Dunia tutegemee mambo mengi toka kwa Chilla !!!!!!

Kama ulipata kusikiliza Mahojiano ya Live toka Clouds FM kati ya Chilla na Band yake ndani ya kipindi cha Power Breakfast najua umepata kusikiliza kazi kubwa iliyofanywa na Chilla akiwa Chimbo....

Tutegemee mazuri siku ya Jumapili 31/01/2016 akiambatana na wakali kibao......

Thursday, January 28, 2016





Monday, January 25, 2016

Bonyeza <<<<<<<MATOKEO 2015/2016>>>>>> kuangalia

Sunday, January 24, 2016

Juzi tarehe 22 Januari, 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga "Zoezi Onesha Uwezo Medani" lililofanywa na Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli alisimamishwa na wananchi waliojipanga kandokando mwa barabara mara nane.

Rais Magufuli alivaa sare za kijeshi tayari kwa kwenda kufanya kazi za Jeshi la wananchi Tanzania ikiwa ni halali kufanya hivyo kwa mujibu wa Sheria ya Jeshi la wananchi ya mwaka 1966.

Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kanali Ngemela Lubinga ametoa ufafanuzi wa Rais Magufuli kuvaa sare hizo..

Msikilize!!!!
MB Dog is a young, vibrant artist based in Tanzania. Sio Siri is his latest single that is creating quite a stir on the airwaves. He shot the video in Johannesburg South Africa. The video entails a short narrative about a young relationship battling with communication.
You should know this!!!!Watch it....

Finally out!!! DJ Jimmy Jatt has dropped his first video for the year. This is the official video the "Feeling the Beat", featuring Wizkid.
Expect nothing less than Ah-amazing from the coolest DJ on the planet.
Directed by: Director Q
Official Music Video for "Juice Back Remix" Produced by Gemini Major and Nasty_C, Featuring Davido and Cassper Nyovest. 
Directed by Sesan and Shot By Uprooted Media
Baada ya mipango kukamilika,sasa video ya Mahaba niue inategemea kufanyika huko South Africa soon sababu kubwa zilizomfanya Msanii Maua kutofanya video za Hits zake hizo kama "SIJIWEZI,SO CRAZYna MAHABA NIUE" ni ukata wa Fedha na Majukumu ya chuo,sometimes vikwazo vya hapa na pale ndio vilivyochangia mimi kutofanya video za Hits hizo.

Mwaka jana alifanya Video yake ya kwanza na star wa RnB BEN POL katika single "LET THEM KNOW" na MAHABA NIUE hii itakuwa video yake ya pili baada ya hiyo ya kwanza.

Msanii Stamina jana 23/01/2016 amesikika katika kituo kimoja cha radio cha hapa jijini akisimulia kisa cha yeye mwenyewe kuuza album yake bila kutumia wasambazaji wa Tanzania.
Hii imefuatiwa baada ya kugundua Urasimu mwingi unaofanywa na Makampuni ya usambazaji Tanzania.
Album hii ambayo imesheheni nyimbo kali za kuelimisha na kuburudisha yenye nymbo 15.
Pia imesheheni story ambazo ni muendelezo katika album yake.Nyimbo hizo ni KABWELA,ALISEMA,MWAMBIE MWENZIO na nyingine nyingi.
Mashabiki tutegemee mambo mengine mazuri toka kwa Stamina Shorwebwenzi Soon.....


Chege Chigunda aahidi kutoa video ya sweety sweety ambayo ndaniyake kutakuwa na Warembo waliofanya kazi ya ziada katika kufanyika kwa Video hiyo ambayo hadi mwisho wake hakutakuwa na sura ya Chege ndani yake bali ni wadada kudance sweety sweety kwa umahiri wa kutosha.Single na video hii ndivyo vitakavyobeba album yake ambayo kaamua kuiita album hiyo kwa jina la
 'Sweety Sweety'.
Hii ni single pekee ambayo Chege aliwashirikisha Runtown na Uhuru kutoka South Africa.

Saturday, January 23, 2016

Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii, majibizano yaliyofanya mpaka ishu ya watu kutaka DNA ya mtoto wa Diamond Platnumz na Zari iwekwe wazi ili ijulikane kama kweli ni mtoto wake.
Diamond alijibu hii ishu kwenye exclusive interview, na pia Soudy Brown kaamua kumtafuta Zari kusikia pia anachukuliaje hizo story za mitandaoni.

Zari kasema kachoshwa na maneno kuhusu mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwa hiyo hata kama ni mtoto wa Diamond au sio wake, wanaozungumzia DNA hawamhusu chochote.
Kingine Zari amesema wana mtoto huyo mmoja lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu na Diamond.

Sikiliza Hapa!!!

Friday, January 22, 2016

Collabo nyingine ambayo ni Gumzo la Jiji hii hapa A.Y akimshirikisha DIAMOND PLATNUMZ katika ZIGO.Hii inaweza kuwa collabo ya kwanza kubwa kuwahi fanyika kwa mwaka huu toka uanze.Ngoma hii imefanywa na ma-producer watatu akiwa  (NahReel) wa The Industry Studios.
 Co-Producer Marco Chali na Hermy B.Ngoma ni kali na Video ni Kali kupita kiasi.Wote kwa pamoja wameitendea haki Ngoma hii.
Enjoy!!!!

Thursday, January 21, 2016


Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amefuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA.

Ameagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama ilivyokuwa hapo zamani.

Amedai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani (NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi.

Tuesday, January 19, 2016

Baada ya Mwana F.A kufanya vizuri na single yake ya Asanteni kwa kuja,Single ambayo ina-beat ya kushiba ambayo yenyewe tu inatosha kuwaimbisha wananchi.

Video ya Single hii imesheheni comments za kutosha nyingi nzuri na mbaya zikiwa zimewalenga directly Mwana F.A na Director wake.Hizi ni baadhi ya Comments!!!!!
Hii ndio nyimbo ambayo imetumia beat ya mkali huyu,sijajua nani kaitendea haki beat hii kati ya wakali hawa...
Enjoy!!!!

Sunday, January 17, 2016

Siwezi is a new hit video directed by super dupa Kenyan director Kevin Bosco Jr, was shot at Runda area in Nairobi Kenya. Audio was produced by Bob Manecky at AM Records in Dar es Salaam, Tanzania.

Relax is track no.15 and the last song off Sauti Sol's brand new album titled 'Live and Die in Afrika' - released on Nov 21st 2015. The video features behind the scene video clips of the group's 2015 shows, tours and events; basically summing up what has been a very successful year for Sauti Sol. The song is a dedication to their fans who've supported them from day one. Sauti Sol's rise and success which has propelled them to be counted among Africa's music giants is a testimony that nothing impossible and when you stop dreaming you start dying! 

“Relax” was written and produced by members of Sauti Sol and the music video produced and directed by Michael Rainin of RAINPIX.
 KAMA ulikuwa hujui hii inakuhusu! Staa wa muziki anayekimbiza Nigeria, *Yemi Alade* amemuanika aliyefanikisha Wimbo wake wa *No Gode* kuimbwa kwa Kiswahili. [image: Yemi alade] Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Yemi alimuweka wazi mtu huyo kuwa ni kiongozi wa kundi la Sauti Sol linalobamba Afrika Mashariki aitwaye Bien Baraza. *“Asante kwa kupoteza muda wako na kutafsiri wimbo wangu wa No Gode kutoka Kiingereza na kuuweka kwa Kiswahili. Nakupenda sana!
Bofya kusoma zaidi>>>>>

Rock legend and cultural icon David Bowie's influence struck a chord with some of hip hop's finest. After releasing his 25th studio album Blackstar on Friday (Jan. 8), the legendary Starman passed away at 69 on Jan. 10 after losing an 18-month battle to cancer.
From Jay Z to Vanilla Ice, Bowie left behind a catalog of hits that often popped up in notable rap records, a testament to his universal talents. Revisit eight rap songs that saluted Bowie below. 
1. Jay Z "Takeover"
Hov took Bowie's 1975 hit "Fame" -- which hit No. 1 on the Billboard Hot 100 -- for The Blueprint cut, a diss track aimed at fellow MCs Nas and Mobb Deep's Prodigy. 
2. Vanilla Ice "Ice Ice Baby"
The beat for Vanilla Ice's breakout smash referenced Bowie and Queen's "Under Pressure."
3. Crooked I "Rap or Die" 
The Long Beach rapper and member of the hip-hop group Slaughterhouse (alongside Joe BuddenJoell Ortiz and Royce da 5'9") swiped the eerie melody for "Rap or Die" from Bowie and Trevor Jones' "Opening Titles Including Underground," which appeared on the soundtrack for the 1986 Jim Henson flick Labyrinth.
4. Public Enemy "Night of the Living Baseheads"
The hip-hop group who rose to fame in the late '80s weaved in Bowie's aforementioned "Fame" for a track off their 1988 sophomore effort It Takes a Nation of Millions to Hold Us Back. The sample appears at the 2:47 mark below.
5. MC Lyte "Put It On You"
The Queens MC employs Bowie's "Fame" for her steamy love note, which called her 1998 Seven & Seven LP home.
6. Ol' Dirty Bastard "Dirty Run"
The Wu-Tang Clan MC slaps his distinct bars on the strummy Bowie "Fame" beat for "Dirty Run," an entry from ODB's 2005 posthumous mixtape album Osirus.
7. EPMD "It Wasn't Me, It Was The Fame"
Erick Sermon and Parrish Smith mixed Bowie's "Fame" with The Stylistics' "People Make The World Go Round" for the grand finale of their 1989 LP Unfinished Business
8. Puff Daddy & The Family feat. Notorious B.I.G. and Mase "Been Around The World"
Puff lifted Bowie's "Let's Dance" for his 1997 jet setter anthem featuring Biggie and Mase. The Billboard Hot 100 No. 1 was the title song of Bowie's fifteenth studio effort, released in 1983. Sidenote: Craig David also released his own dance track called "Hot Stuff (Let's Dance)" in 2007, directly inspired by Bowie's funky jam. 
Label hiyo ya marekani ilipost hivyo picha iliyoonesha Roozey akiwa na C.E.O na Chairman wa Epic Record na  Epic Records President Sylvia Rhone
Soma zaidi>>>>
Bonyeza kitufe mbele ya matokeo kisha CTRL+F = ANDIKA SHULE YAKO KISHA ENTER kutafuta shule yako....rahisisha utafutaji hapaMATOKEO YA KIDATO CHA PILI (II) KWA MWAKA 2015/2016 HAYA HAPA

Saturday, January 16, 2016

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mkali wa comedy Joti ameandika haya mara baada ya kuweka picha hii akiwa na jamaa yake toka kitambo, Mpoki.



Tuesday, January 12, 2016

Baada ya Adele kusumbua kwa wiki kumi mfululizo akiwa namba moja katika chati za Billboards na Single yake ya "Hello",Justin Bieber amgaragaza kwa Mara ya kwanza na kushika namba moja katika Chati hizo .
Soma Zaidi>>>>>Justin Bieber's 'Sorry' Dethrones Adele's 'Hello' Atop Hot 100 

 Idris ambaye alikuwa ni mpiga picha katika kampuni ya I-View Studios, alirudi nyumbani kama milionea mwenye uwezo wa kuanzisha kampuni zake mwenyewe,afunguka katika ukurasa wake wa tweeter kuwa hajafulia na anamiliki kampuni zake mbili mpaka sasa ambazo ameajinadi kuwa anawafanyakazi 20 kwa sasa ifikapo mwisho wa mwaka huu atakuwa na wafanyakazi 100.

Angalia alichomjibu Shabiki huyu baada ya shabiki kuponda washindi wa Big Brother kuwa huwa hawafanyii lolote fedha wanazopata baada ya ushindi.





Sunday, January 10, 2016

Title: Nia Yangu
Artist: Linah Sanga (@officiallinah)
Director: Khalfani (@director_khalfani)
Music Producer: Ema TheBoy (@ematheboy)
Credits: Zuch (@Zuch_Photography)
Location: Coco Beach, Dar es Salaam - Tanzania
Music video by Olamide performing I Love Lagos [Official Video]. YBNL Nation

Saturday, January 9, 2016

JUMAPILI HII NDANI YA CLUB YAKO YA KIJANJA ILIYOPO TEGETA KIBAONI,"CLUB 71"KIMBUNGA MCHAWI ATATAMBULISHA ALBUM YAKE AKISINDIKIZWA NA WAKALI KIBAO TOKEA ENZI HIZO HATA SASA"INSPECTOR HAROUN,HAKEEM 5,DULLAYO,Y-TONE,BABUU WA KITAA,BUIBUI,IC"E BOX,STOPA RHYMES-mzee wa mtu tatu ndani ya Truck moja,na DANCE 100/100
Damage  kama inavyojieleza ktk Flyer "Tshs.7,000/="
MwanaFA's Thanks for Coming/Ahsanteni Kwa Kuja OFFICIAL MUSIC VIDEO produced by Studio Space Pictures (S.S.P.) South Africa and directed by Alessio Bettocchi of S.S.P. 

Audio Produced and mastered by Hermy B of B. Hitz in Dar es Salaam, Tanzania.

Friday, January 8, 2016

ARTIST- PETER MSECHU
SONG WRITTER- BARNABA THT
AUDIO PRODUCER- TEAZ VILLAH
AUDIO STUDIO- DOWNVILLAH RECOR
Calvo Mistari Teams up with Duo Opips & Jardel to bring you this feel good Jam TAKE IT LOW Produced by RedRepublik's KidKay AKA Kora. 
MBWANA SAMATHA....MBWANA SAMATHA....

Mchezaji Mbwana Samatta amepata ushindi wa kwanza kwenye tuzo za Glo Africa Awards 2015 ndani ya Abuja Nigeria. Ushindi huo ni kuwepo kwenye kikosi cha kwanza Africa ambapo Samatta ametajwa kwenye kikosi hicho. Tuzo hizo zimetolewa usiku wa January 7, 2016 kwenye ukumbi wa International Conference Centre, Abuja, Nigeria.
Abameyang pia amehusika kwenye kikosi hicho akiwa na Mbwana Samatta pamoja na wachezaji wengine.

hakika umetenda kile ambacho ni kiu cha watanzania......

HONGERA SANA KWA KUWA MCHEZAJI BORA BARANI AFRICA

kilele cha furaha yetu sisi watanzania wenzako  tunakusubiri nyumbani shujaa wetu shupavu.....

MUNGU MBARIKI MBWANA SAMATHA
MUNGU IBARIKI TANZANIA......
#ushindi 2020

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ