• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, August 6, 2012

CMB PREZZO AWA MSHINDI WA PILI BIGBROTHER STARGAME 2012

No comments:
 
Mshindi wa pili wa shindano la Big Brother Africa Stargame, Prezzo ameandika ujumbe wa shukrani kwa watu waliompa support kwa siku zote 91 alizokuwa kwenye jumba hilo.
Katika fainali ya shindano hilo iliyorushwa jana live, Keagan wa Afrika Kusini ndiye aliyeondoka na kiticha za dola 300,000.
Huu ndio ujumbe wa Prezzo aliyekuwa akitegemewa kushinda kwenye shindano japo matokeo yamekuwa tofauti.
"THANK YOU AFRICA FOR YOUR VOTES, AND YOU... AND YOU... AND YOU,
 ...Individually and collectively, for taking me global and making the whole wide world my playground.

 Am truly humbled."


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ