• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, April 5, 2016

Maamuzi ya mwisho, Mahakamani kwenye kesi ya Mbatia na Mrema.

No comments:
 
Nani mbunge halali wa Vunjo? kumbuka baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 James Mbatia alitangazwa mshindi wa jimbo la Vunjo ambalo lilikua chini ya Mrema kipindi kilichopita, baada ya huo ushindi Mrema alifungua kesi Mahakamani baada ya kudai amechezewa mchezo mchafu na yeye ndio alistahili kuwa mshindi.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ