• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, May 26, 2016

BAADA YA KUPITA MIAKA KUMI,MBUNGE NA MSANII "SUGU" ATAKUWEPO NDANI YA CLOUDS 360....KWA MARA YA KWANZA.

No comments:
 
Ikiwa imepita Miaka kumi sasa toka Mbunge na Msanii MR.II a.k.a SUGU kwa mara ya kwanza ataonekana katika Luninga yako kupitia Kipindi cha CLOUDS 360 ya Clouds TV.

Yote haya yalitokea Baada ya Sugu kudai kudhurumiwa Dili la Malaria,ambayo ilikuwa ni project ya SUGU kipindi hicho.

Mengi yatazungumzwa hapo siku ya ijumaa Tarehe 27/05/2016   katika Luninga yako ndani ya Clouds TV.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ