Single mpya kutoka kwa Msanii Ice Boy akimshirikisha Nandy - Binadamu inategemea kuachiwa siku ya Ijumaa ya Tarehe 27/01/2017 ikiambatana na Video Kali iliyotengenezwa na Kampuni ya Motion Pictures huku audio ikitengenezwa na Dee Classic na kuwa Mixed na Chizan Brein.
Fans wawe tayari kumpokea Ice Boy this time akiwa amefanya Ngoma kali pamoja na Video kali.
Fans wawe tayari kumpokea Ice Boy this time akiwa amefanya Ngoma kali pamoja na Video kali.
No comments:
Post a Comment