chanzo cha kuachana na mpenzi wake wa zamani ambae ni Irene Uwoya aliedaiwa kusema kwamba katika wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi, H Baba ndio alikua mbovu kuliko wote kwenye mapenzi, hajui chochote. Kuhusu hilo H baba amejibu kwa kusema chanzo cha yeye kuachana na Irene ilikua ni baada
ya kumpa ujauzito ambapo siku moja walikwenda hospitali kutokana na Irene kujisikia vibaya lakini walipofika hospitali Irene ambae aliingia kwa dokta peke yake aliutoa huo ujauzito bila kumpa H baba taarifa kabla, wakati walikwenda wote hospitali, H baba hakukubaliana na hiyo ishu na kuanzia hapo ndio kila mtu akashika njia yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment