MPOKI KUTOKA ORIGINAL COMEDY AKIWA NA MJEDA KULIA KWAKE WALIKUWEPO KATIKA KU-SUPPORT HARAKATI HIZI ZA MUZIKI.
TAKRIBANI WATU KAMA MIA TANO,KILA MMOJA AKIWA NA KIU YA KUTOKA
TOKA KUSHOTO-HAMAD MWAULANGA,NICKO,NA DJ NICKO TRACK TOKA CAPITAL FM WAKIWEKA MITAMBO SAWA.HAWA NI KATI YA VIONGOZI WALIOANDAA SHOW NZIMA.
MDAU NICKO KUSHOTO AKIWA NA DJ.NICKO TRACK WAKIWEKA MITAMBO SAWA
MPOKI AKITOA HOJA KWA WADAU WENGINE KABLA YA SHOW KUANZA
WALIANZA WAZEE WA NGUMU NIKIMAANISHA HIP HOP KISHA WALIENDELEA NA R&B
PRODUCER ZACHA KUTOKA MJ.RECORDS WAKWANZA KUTOKA KUSHOTO ALIKUWA KATI YA MA-JUDGES AKIMUELEKEZA MJEDA SWALA.
PRODUCERS WENGINE WALIOKUWEPO KAMA JUDGES NI MAZUU REC.BAUCHA,MONA GANGSTAR,NA MANEKE.
NICKO
MWANAHARAKATI EAZY MCHWA MSANII PEKEE MUALIKWA WA HIP HOP,ALIWASINDIKIZA WANAHARAKATI WENZAKE.
No comments:
Post a Comment