JOH MAKINI |
Kati
ya wasanii wakali Bongo na wanaokinukisha katika Music ya Hip Hop hata
wakiwa watatu basi jina la Joh Makini a.k.a Mwamba wa Kaskazini lazima
litakuwepo kwenye hiyo list.
Mkali
huyu toka A-Town na bado anakinukisha vilivyo pande za Dar es Salaam na
Tanzania kwa ujumla. Alisema yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo
ilikuwa imekaa ndani takribani miaka minne mpaka sasa. Ngoma hiyo
inaitwa “Sijuti” ambayo ilitengenezwa ndani ya studio za 41 Records
chini ya producer Dunga.
Kwasasa
Joh Makini ambaye ni member wa kundi la Weusi linalofanya vizuri
kutokana na nyimbo zao kali wanazozitoa kuanzia G-Nako, Nick wa Pili,
Lord Eyez na Bonta. Joh kwa sasa anatamba kwa single yake ya “Manuva”
ambayo video yake inasumbua kwenye vituo mbalimbali vya TV hapa bongo na
nje ya Bongo Tz...
Kaa mkao wa kusikiliza ngoma hii kali. soon hapa hapa.
No comments:
Post a Comment