Wakati
watu wengi Maharufu kote ulimwenguni husifia sana mavazi yao,hata kama
huwa hayawapendezi,ila imekuwa tofauti kwa mwanamitindo Kim
Kardashian,ambaye ameponda vazi lake ambalo alivaa akiwa katika
mahojiano na Television moja ya huko Miami..ambapo alikuwa akihojiwa
kuhusu muendelezo wa Tamthilia yake inayojulikana kama Kardashian
Family ,katika mahojiano hayo alisikika akisema nilitaka kuwa tofauti
kidogo nilipotoka nikagundua Jacket lilikuwa kubwa na halikunikaa
vizuri kwa kweli sikupendeza kabisaa,na nilipogundua sikutaka watu
waanze kusema ila nimeamua kuzungumzia hilo na tayari nimeandika kwenye
blog yangu....Je nikweli hakupendeza?
|
No comments:
Post a Comment