Yule Mdau mkubwa wa Muziki wa Dansi Tanzania Khamis Dakota anaanza rasmi
kutangaza kipindi cha X-Afrika kitakachokuwa kinaenda hewani kila siku
ya Jumamosi kuanzia saa moja Jioni na ku-editiwa na yule super dupa
editor in town Kenny Rollin,kaa tayari kusubiria mashambulizi hayo.
Superduper
editor Kenny Rollin editor wa kipindi cha X-Mix cha DTV pia atakuwa
ana-edit na kipindi cha Khamis Dakota cha X-Afrika.
No comments:
Post a Comment