
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)

Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiiimba na kucheza nyimbo mbalimbali
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma alipowasili leo kufunga
mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mwenyekiti
wa UWT Sophia Simba akiongea katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)


Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT)

Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT
Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT)

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakirushwa na Sizya Mazongela wa kundi la Segere

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

No comments:
Post a Comment