Baada ya kimya cha muda mrefu msanii Tash Bablenye anarudi na Track yake mpya aliyomshirikisha msanii wa FM ACADEMIA PAPPY CATALOG (CHUCK NORRIS) chini ya Producer MESEN SELEKTA kutoka studio ya DE FATALITY MUSIC inayokwenda kwa jina la BARIDA. Kuwa wa kwanza kuisikia utofauti uliopo kwenye ngoma hii na ngoma zote ulizowai kuzisikia..... MuleMuleMusic
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment