![Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_t2HSqLPQf7yS6n5UfiGUVDrIw4_vHp-umjDeRr3YPFHaUeU6QvGgdB9tDDkNB4HniU53O_NgaygB8SY96RfhbeFvZnqunkljOVK_lOf-PDjaji-af3NU4OSbYaut8=s0-d)
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.
![Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_s1cgvidA8TLNW2z1VdHznyZUaAZIu-V-3HLIcvZR5xDjeea8QZf5_TjDRaq2AQT2nN6XNaSzd0M4P6ihSL-N0UKFMJkHbPRXSw1grsidhJ1I4k4HvtteGQgmz4PeY=s0-d)
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed
Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini
Oman.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment