Wimbo ulioimbwa na wasanii kutoka nchi tofauti Africa wa kampeni ya
kilimo ya Do Agric, Fahamu Tanzania Imewakilishwa na Ay na Diamond
Platnumz, Wasanii wengine ni Buffalo Souljah, Dama Do Bling,
D’Banj,Dontom, Fally Ipupa, Femi Kuti, Judith Sephuma, Juliani, Kunle
Ayo, Liz Ogumbo, Nancy G, Omawumi, Rachid Taha, Tiken Jah Fakoly,
Victoria Kimani, Vusi Nova, Wax Dey.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment