• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, May 8, 2014

JOHN LEGEND ASHIKA NAMBA MOJA KATIKA CHATI ZA BILLBOARD HOT 100 HUKO U.S.A

No comments:
 
John Legend Tha hit maker wa single ya "All of Me" awa namba moja katika wiki 30 Mfululizo.

Mkali mwingine wa R&B "Pharell Williams" tha Hit maker wa "Happy" amekuwa namba Moja katika wiki 10 Mfululizo kwenye chati hizi za Billboard Hot 100.

“All of Me” reaches the top in its 30th week, marking the third-longest climb to No. 1 in the chart’s 55-year history. Legend’s previous bests were 2005′s “Ordinary People” and 2008′s “Green Light” featuring AndrĂ© 3000, which both peaked at No. 24.
“#1!!!!!!!! Thank you!!” tweeted a grateful Legend.

Unaweza Kuisikiliza Track Hii Hapo Chini....HII NI ORIGINAL VERSION.....
Kutokana na Ngoma Hii Kufanya Vizuri Duniani,Kuna Vichwa kama JAH CURE vimekaa na kutengeneza Sweet Reggae Ya Hit Single Hii.....HII NI COVER VERSION YA SWEET REGGAE......

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ