JARIBU KUCHUKUA MUDA USIKILIZE KITU ALICHOKIFANYA G NAKO KATIKA CHORUS YA MTU MZIMA F.A, WAKONGWE WAMEAMUA KUONESHA NI JINSIGANI WAPO TOFAUTI NA WASANII WACHANGA,AU CHIPUKIZI.BIG UP MWANA F.A
Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulipata nafasi ya kusikilizwa na Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa ‘mfalme’ wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na umefanywa na Producer Nahreel.
Baada ya kuusikiliza usiache kuandika yako ya moyoni kwenye comment hapa chini...

No comments:
Post a Comment