Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Videoz za Ulaya Utagundua Wakali hawa ni marafiki kupita kiasi,hata katika Video Mpya ya Chris Brown - Loyal.Utamuona Usher akiuza Sura humu.
Usher amemtaja Chris kuwa ni kati ya Wasanii atakaowashirikisha katika album yake ijayo.
"Good Kisser" ndio ngoma yake ya kwanza katika Album yake,ambayo imetoka na Video yake Tayari.
Usher anasema Single Hii itajibu maswali mengi sana,kuna mambo mengi sana yanayotokea kila siku juu ya Maisha ikiwa sisi ni Binadam,ingawaje sote Tunapata Matatizo mara kwa mara..Ni mengi kayaongelea humo Stay Tuned!!!!!
Sikiliza Kipande hiki Cha Mahojiano yake BBC Radio 1...

No comments:
Post a Comment