Floyd hataki kupoteza hata nafasi moja kuwaonesha mashabiki zake jinsigani alivyo Tajiri,Pichani akiwa katika BET Experience Concert katika mji wa Los Angeles iliyowashirikisha akina Ice Cube,Snoop Dogg,na Dr.Dre.
Jezi hii aliyovaa amewakumbusha watu juu ya Mchezaji CARL MALONE aliyekimbiza sana katika Basketball.
Angalia alichopost instagram:-
No comments:
Post a Comment