• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, June 2, 2015

Bruce Jenner sasa ajiita Caytlin

No comments:
 

Caitlyn Jenner
Mnamo mwezi Aprili Bruce Jenner alijibadilisha maumbile katika mahojiano na Diane Sawyer wa ABC.
Mnamo mwezi Mei Jenner mwenye umri wa miaka 65 alijadiliana na familia yake kuhusu hatua yake ya kujibadili maumbile katika kipindi cha ''keeping up with the Kardashians''.
Sasa Jenner yuko tayari kujitangaza kama Caitlyn kwa ulimwengu


Katika picha iliopgwa na Annie Leibovitz,picha ya mwanariadha huyo wa zamani ilichapishwa katika jarida la Vanity na ndani ya gazeti hilo ,jenner anaweka wazi maumbile yake mapya.
Baada ya kupata wafuasi zaidi ya milioni moja kwa mda wa saa nne ,Caitlyn Jenner amevunja rekodi ya mtandao wa twitter kulingana na rekodi za dunia za Guiness.Amemshinda Barrack Obama aliyeshikilia taji hilo kwa wiki mbili

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ