Kipande cha video kikionesha afisa mpya wa ndege ambaye alipita jirani na mabawa ya ndege ambako engine huvuta upepo ili kuipoza,inaonesha hakuwa aware na sheria za Airport.
Engineer huyo alipita jirani na ndege aina ya Boeing 737 Huko El Paso International Airport.
No comments:
Post a Comment