GANGSTAR SWAG
Kundi jipya linalofanya Muziki wa tofauti kabisa hapa Tanzania,sio muziki tofauti tu bali Muziki Mzuri wenye vionjo tofauti vya kisasa na zamani.
Kundi hili limebebwa na Wakali watatu (FREE JOMBAA, LOVIS UPEPO&Y.S)ngoma inaitwa FASHION HIZI
Tumia dakika zako 4 kusikiliza nyimbo hii!!!
No comments:
Post a Comment