Story kuhusu
Jay-Z na
Beyonce kuachana zimechukua sura nyingine baada ya Beyonce kuonekana mja mzito wa mtoto mwingine,Sura hii imetokea baada ya Jay-Z kugundua kuwa Mzazi mwenzake ni mjamzito,alimpeleka ITALY kwa mapumziko ili waweze kurekebisha Mapenzi yao.
No comments:
Post a Comment