• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, September 18, 2015

NAWALETA KWENU BECKA TITTLE NA BUI BUI NDANI YA COLLABO KALI YA "UNATAKA NINI".....On Stores now Hadi JUMATATU "21-09-2015"

No comments:
 


Sikuzote waswahili wanasema kimya kingi kina mshindo sasa naamini kweli kwamba kimya kingi kina mshindo pale nilipokutana na wakali hawa "BECKA TITTLE na BUI BUI"na kusikilizishwa ngoma yao"UNATAKA NINI?",ngoma ambayo imefanywa ndani ya studio za MOTTO RECORDS.

Video ya Nyimbo hii imefanywa na kampuni yako mama ya "ALLSTARTZ MEDIA".......

Single na Video vitatambulishwa siku ya tarehe 21/09/2015 katika Media zote na Social Media kwa ujumla.
Mashabiki na wapenzi wa Muziki mzuri tutegemee Radha nzuri kutoka kwa wakali hawa tukitega  Masikio katika Radio Stations mbalimbali na Macho yetu katika TV Stations.....

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ