Kutoka kushoto Swiss Beatz,MC Galaxy na Alicia Keys
Wakati Alicia Keys na Swiss Beatz walipokuwa wakisikiliza nyimbo tofauti za Nigeria walifanikiwa kupendezwa zaidi na MC Galaxy na walichagua kibao hiki "SEKEM"ndicho kifanyiwe remix katika Studio yao.
Hii ni Picha aliyoishare MC Galaxy kwa Fans wake inaonesha Yupo Jikoni akipika Remix ya Sekem.
Tumia dakika chache kusikia ORIGINAL ya Single Hiyo!!kisha tusubiri Remix soon!!!!!!!
No comments:
Post a Comment