• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, January 4, 2016

BAADA YA KUVURUGANA NA NUH MZIWANDA SHILOLE KIUNO AAMUA KUFUTA PICHA ZOOTE ZA NUH MZIWANDA KATIKA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM

No comments:
 
Comments tofauti zinazoendelea kumiminika katika akaunti ya SHISHI KIUNO zinaonesha dhahiri kwamba Jahazi limefikia mwisho kati ya Nuh Mziwanda na SHILOLE.Hata picha zilizokuwa zikimiminika kila siku juu ya maisha yao sasa zimeishia ukingoni.Mapenzi kizungumkuti kweli..hizi ni comments za mashabiki juu ya issue nzima
A photo posted by shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ