• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, January 12, 2016

Baada ya Shabiki Kumshambulia Idris Sultan na Washindi wa Big Brother waliopita Hiki ndicho alichokijibu katika ukurasa wake wa twitter

No comments:
 
 Idris ambaye alikuwa ni mpiga picha katika kampuni ya I-View Studios, alirudi nyumbani kama milionea mwenye uwezo wa kuanzisha kampuni zake mwenyewe,afunguka katika ukurasa wake wa tweeter kuwa hajafulia na anamiliki kampuni zake mbili mpaka sasa ambazo ameajinadi kuwa anawafanyakazi 20 kwa sasa ifikapo mwisho wa mwaka huu atakuwa na wafanyakazi 100.

Angalia alichomjibu Shabiki huyu baada ya shabiki kuponda washindi wa Big Brother kuwa huwa hawafanyii lolote fedha wanazopata baada ya ushindi.





No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ