Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii, majibizano yaliyofanya mpaka ishu ya watu kutaka DNA ya mtoto wa Diamond Platnumz na Zari iwekwe wazi ili ijulikane kama kweli ni mtoto wake. |
Zari kasema kachoshwa na maneno kuhusu mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwa hiyo hata kama ni mtoto wa Diamond au sio wake, wanaozungumzia DNA hawamhusu chochote.
Kingine Zari amesema wana mtoto huyo mmoja lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu na Diamond.
Sikiliza Hapa!!!
No comments:
Post a Comment