• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, January 2, 2016

Shilole, Eddy Kenzo wa Uganda Penzi Jipya

No comments:
 
eddy_kenzo
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kufuta TATOO ZA NUH na kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.

‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.
‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana,’’Alisema Shilole.

Mmmmmhhhhh HAYA NDIO MAPENZI YA MJINI!!!!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ