• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, February 23, 2016

HATIMAE MSANII A.Y AZUNGUMZIA KWA MARA YA KWANZA KUFUNGIWA KWA VIDEO YAKE YA ZIGO REMIX

No comments:
 
Hata hivyo AY ameshangaa hatua hiyo na kuhoji ni maadili yapi ambayo hayajazingatiwa kwenye video hiyo, na pia mbona hawafungii video za nje ambazo zinakiuka maadili zaidi.
“Unajua unavyo shoot una shoot kama maudhui ilivyo,huwezi ukavaa suti jangwani au ukavaa overall kwenye swimming pool..na mavazi ya swimming pool yako kila sehemu hata katika taarifa ya habari tunayoona kwenye vipindi vya michezo kama wao pia wanakiuka habari nitakubaliana nao..kama wanafungia wimbo wa zigo na kuacha za kina nick minaj ni sawa kama wanaona maadili ya kina Nick Minaj yako sawa na kina Ay ndo mabaya,inabidi kukubaliana nao” alifunguka Ay
AY - Zigo remix
Hata hivyo Innocent Mungi kutoka TCRA hakutaja moja kwa moja kuwa video hio umefungiwa bali wametoa barua kwenda kwa vituo vinavyorusha matangazo ya Tv kuwa wasimamie kanuni za maudhui ya utangazaji kusitisha kurusha nyimbo zote zinazokiuka kanuni hizo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ