Balozi Ombeni Sefue
Kutoka Ikulu Dar es salaam leo March 6 2016, ni uteuzi mpya uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazikuwa Katibu Mkuu kiongozi ambapo kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India
Balozi Mhandisi John William Kijazi
Kufuatia uteuzi huo, Rais Magufuli amesema aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI MH. RAIS AKITANGAZA UAMUZI HUO.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI MH. RAIS AKITANGAZA UAMUZI HUO.
No comments:
Post a Comment