Waziri January Makamba amelielezea kwa urefu sakata la kutuhumiwa kuchukua fedha kwa ahadi ya kufanikisha kupata ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na kukiri kumjua mhusika lakini amekanusha kuhusika kwa namna yeyote na pesa pekee aliyopokea ni mchango kutoka kwa dada yake kwa ajili ya Bumbuli.
No comments:
Post a Comment