Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.Adelhelm Meru, (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin wakati wa semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo Dk.Mary Nagu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin wakati wa semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.Adelhelm Meru, (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa semina hiyo ambapo alikuwa mgeni rasmi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin , wa pilia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Tanzania (SBL) Kalpesh Mehta na Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania, Michael Mbungu.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin akizungumza.
Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye mkutano wa Alcoholic Drinks and Beer Sector Taxation Workshop uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo

Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania, Michael Mbungu, akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Alcoholic Drinks and Beer Sector Taxation Workshop ,uliofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Tanzania (SBL) Kalpesh Mehta , , Christopher Mgifi kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin
Baadhi ya wadau wakuu walioshiriki katika semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment