• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, April 10, 2016

MSANII MWINGINE TEJA HUYU HAPA

No comments:
 
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.

Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.


..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

Hii ndio video iliyomtambulisha katika Ramani ya Muziki wa Bongo Flava!!!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ