• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Wednesday, July 20, 2016

Msomi wa Chuo Kikuu Nigeria kutoka katika mji wa KADUNA Atengeneza Helicopter Kutokana na Vyuma Chakavu

No comments:
 
 Kijana Msomi wa Chuo Kikuu huko Nigeria Mubarak Abdullahi mwenye umri wa miaka 25 amefanikiwa kutengeneza helicopter inayoweza kuruka umbali wa Futi 7.Inaonesha alitumia mabaki ya Ndege Boeing 747 na mabaki ya Alminium pia Parts za Honda Civic na Toyota ya Zamani.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ