• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, November 26, 2016

Azma ft.Belle 9 - Astara Vaste | I'm In Love | Official Video

No comments:
 
Sikuzote mwaka unapokuwa unaisha sio tu kwa wasanii tu bali kila mmoja huwaza anaumaliza mwaka wake vipi au kwa style ipi,Huku wakiangalia kwa Mwaka mzima Wamefanya Nini hata Mwaka Unaisha.Hii huwa Ngumu kwa Wasanii Zaidi maana kila mmoja anawaza kumaliza mwaka kwa HIT SINGLE japo Moja.Mpaka Sasa kuna Hit Songs za Kutosha katika Soko letu.Leo Hii Azma kaamua kutuzawadia Hit Single Hii Amemshirikisha Belle 9 ikiitwa Astara Vaste ikiwa ina maana ya "I'M IN LOVE" Tafsiri ya Msanii Azma.Enjoy Mziki Mzuri!!!
CREDITS:
 AZMA FT Belle 9TRACK: Astara Vaste {Im in love}, AUDIO BY KITA AND ALFIZO, DIRECTED BY KEVIN BOSCO jnr

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ