
Muda mfupi baada ya babake kushinda uchaguzi, macho yote yaliangaziwa bintiye Donald Trump, Tiffany Ariana Trump.
Baada ya Barack Obama kuondoka Ikulu na familia yake iliyoshikilia ukale, utakuwa wakati wa familia ya Trump iliyo wazi, labda hilo ndilo linalohitajika Ikulu, na urembo pia.

Tiffany Ariana Trump
Babake alimshinda Hillary Clinton, aliyetarajiwa na wengi kuwa rais wa Marekani.
Tiffany alikuwa katika kampeni ya babake.

Tiffany Ariana Trump
Kila mtu anatarajia kuwa binti huyo ataonyesha inavyokaa Ikulu katika ukurasa wake wa Instagram.

Tiffany Ariana Trump
Watu wengi hawajui kuwa Tiffany ni mwanamuziki na mwanamitindo.

Tiffany Ariana Trump
Awali alifanya kazi na Vogue kama mwanamitindo. Mwaka wa 2014, alitoa kibao chake cha kwanza ‘Like a bird’ na hajaamua ikiwa anataka kuendeleza uanamuziki wake.

Tiffany Ariana Trump
Tiffany alikuwa maarufu hata kabla ya babake kuwa rais. Katika mtandao wa Intagram, ana wafuasi 300,000 na alikuwa akishirikiana na watoto matajiri Marekani kama vile Kylie Kennedy, bintiye John F Kennedy.

Tiffany Ariana Trump na mpenziwe
No comments:
Post a Comment