• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Tuesday, November 29, 2016

Mkuu wa Wilaya ya Lindi kufunga wazazi wasiopeleka Watoto shule

No comments:
 
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amesema Atawachukulia hatua za kisheria wazazi wote 

wataoshindwa kuwaendeleza wanafunzi watakaokuwa wanaingia kidato cha kwanza ambao watakuwa 

wamefaulu kutokana na sababu yoyote ikiwemo kuwafunga.

Ndemanga Ameyasema hayo wakati akizindua Mnara wa Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel Iliyopo Ng’apa

 Mkoani Humo.

Mara baada ya kuzindua Mnara Huo Mkuu wilaya ya wa Lindi Shaibu Ndemanga anasema Viwanda Vingi 

Vinajengwa Mkoa hapo kutokana na kugundulika kwa nishati ya Gesi ambayo itatoa ajira kwa kiasi kikubwa .

Hata Hivyo baadhi ya wananchii wa kijijicha Ng’apa ambapo ndipo mnara huo umejengwa wamefarijika baada

 ya kupatikana kwa mawasiliano ya uhakika.

kwa kipindi kirefu wananchi wa Vijiji zaidi ya sita wamekuwa wakilalamika juu ya upatikanaji wa mawasilino

 hivyo kujengwa kwa mnara huu kutasaidia kurahisisha huduma mbalimbaliza kimawasiliano.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ