
"Nimeamua kujitoa mtanashati, na sababu kubwa katika zote ya kujitoa ni kwamba nilifata kazi kwa Ostaz na sio hela zake, so nilichokuwa nadhania ntakipata mtanashati hakipo,Boss anatafta zaidi sifa na ustaa Tanzania na mimi mziki ni kazi yangu..anaweza akagawa mamilioni kwa watu ili atajwe lakini anashindwa kulipa hela ya maana kwa ajili ya video, matokeo yake anatoa shilingi laki tatu? unadhani tutaweza kushindana na video kama za kina Ay za million 30?. nimeuza mpaka blackberry yangu kuongeza kwenye pesa za kukamilisha video yangu, wakati hata nilivyokua ha hustle mwenyewe sikuwahi kuuza sim yangu. so nimejiondoa maana sioni faida yoyote, na mimi mziki kwangu ni kazi nataka nifike mbele zaidi. aliongea Suma
No comments:
Post a Comment