Miezi mitatu aliyoitumia akiwa kwnye shindano la Big Brother Africa Stargame, imemuongeza Prezzo umaarufu maradufu na sasa hivi it’s time to make more money.

Kwakuwa jina lake ni kubwa barani Afrika bidhaa hizo hazitachelewa kusambaa kwenye nchini zingine za Afrika.
Bidhaa hizo ni pamoja na T-Shirts za kiume na kike, miamvuli na zingine.

No comments:
Post a Comment