Ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu kifo
chake, aliyekuwa muigizaji wa mahiri "Bongo Movies" Steven Charles
Kanumba (The Great). Tayari kuna filamu ambayo alicheza siku chache
kabla ya kifo chake ambayo inakwenda kwa jina la "NDOA YANGU" sasa
imeingia madukani ikiwa inasambazwa na steps. Kulingana na uhalisia hii
ndio filamu ya mwisho kuchezwa na Kanumba kwa kuwa sasa hatunaye tena
duniani.
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU
No comments:
Post a Comment