• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, September 1, 2012

HILI NDILO COVER LA ALBUM YA AALIYAH NA STORY YAKE

No comments:
 
Kama hufahamu ni kwamba album ya marehemu Aaliyah itatoka mwaka 2013 na itakuwa na nyimbo 13, Msimamizi wa utengenezwaji wa album hii ni Drake wa Young Money na Producer Noah 40 Shebib Na pia wasanii kama Miss Elliot na Timbaland waliofanya kazi na Aaliyah wakati wa uhai wake hawata husishwa kwenye album hii.

Kilicho ibuka hivi karibuni ni cover la album ya Aaliyah kutambulishwa na mjomba wake Mr Barry Hankerson kwenye twitter . Barry ni mfanya biashara na C E O wa Blackbround Records . Chanzo cha habari hili kimesema kuna uwezekano account hii ikawa sio yake kwa sababu imefwatwa na watu 111 tu na imekuwa ikitangaza habari nyingi kuhusu Aaliyah zisizo aminika.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ