• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, September 6, 2012

MSANII:DIAMOND PLATINUM HAJAWAACHA NYUMA MADANSA WAKE

 
Mshindi wa tuzo mbili za Kilimanjaro Music Awards 2012, Diamond Platinumz yuko nchini Marekani kwa ajili ya kupiga show nchini humo. Ni nadra sana wasanii kusafiri na madansa wao lakini Diamond ameweza kuwashawishi waadaaji kumruhusu asafiri nao ni kitu cha kumpongeza. Tunamtakia kila la heri Diamond.
Post a Comment
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ