• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, October 27, 2012

H BABA ANATARAJIA KUFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA

No comments:
 
Najua twamfahamu vema H baba  jinsi anavyoondoka na style za Dance katika muziki wa hapa Bongo Land mpaka kupelekea mashabiki wengi kumkubali,siku za hivi karibuni msanii huyu aliamua kufunguka na kusema kwamba sasa hivi ana michakato ya kumalizia mipango yake ya ndoa baada ya hapo ndipo ataanza rasmi kuongea na Fally Ipupa ili wafanye collabo kwa pamoja katika ngoma mpya.Lakini H baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.Tunamtakia All the best.

source   /      fetty

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ