• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, October 25, 2012

JOH MAKINI KUACHIA NGOMA YAKE MPYA SOON.

No comments:
 
JOH MAKINI
Kati ya wasanii wakali Bongo na wanaokinukisha katika Music ya Hip Hop hata wakiwa watatu basi jina la Joh Makini a.k.a Mwamba wa Kaskazini lazima litakuwepo kwenye hiyo list. 

Mkali huyu toka A-Town na bado anakinukisha vilivyo pande za Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Alisema yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo ilikuwa imekaa ndani takribani miaka minne mpaka sasa. Ngoma hiyo inaitwa “Sijuti” ambayo ilitengenezwa ndani ya studio za 41 Records chini ya producer Dunga. 
Kwasasa Joh Makini ambaye ni member wa kundi la Weusi linalofanya vizuri kutokana na nyimbo zao kali wanazozitoa kuanzia G-Nako, Nick wa Pili, Lord Eyez na Bonta. Joh kwa sasa anatamba kwa single yake ya “Manuva” ambayo video yake inasumbua kwenye vituo mbalimbali vya TV hapa bongo na nje ya Bongo Tz...
Kaa mkao wa kusikiliza ngoma hii kali. soon hapa hapa.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ